Who created ''Nothingness''? and before Nothingness, what was there?

always am a Winner

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
230
193
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
 
.
The verb create means to cause the existence of a new thing.
Nothingness means no-creation.
So your question --Who created "Nothing''?--is nonsensical.
 
Being NOTHING ni kutoitikia sheria na nguvu za uumbaji... Nothingness si kiumbe. Maswali yako mengi yanajikanganya pia.
 
nothingness means no space, no time and no matter.
mwanzo1:1 Mungu alianza kwa kuumba vitu hivi vitatu. na hakuna jinsi kikawepo kimoja kingine kisiwepo wakati huohuo.
kwa hiyo,
nothingness -no creation or evolution
na hapo ndio unamshangaa anaeuliza who created God wakati Mungu sio sehemu ya creation. Hawi affected na Muda wana space wala matter. he is outside of creation.
if you decide to scientifically to travel from planet earth to the area outside of his creation/universe/space/heavens you will automatically appreciate him before even reaching the galax neighbour to Milkway .

it is illogical and non-scientifical to ask who created nothing ness. unless we have another word, the word create is unfit.
 
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Try to understand the meaning of the word nothing. By doing this, you will have all your questions answered.
 
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Swali zuri ila umeliuliza kwa kasi sana. Ungeanzia kuuliza namba 1 na 2 na kusubiri mirejesho. Angejitokeza mtu na kusema kuwa "Mungu aliumba tupu." Hapo ungeuliza namba 3. Na kuendelea. Umetumalizia utamu wa swali kabla wadau hawajajitahidi kulijibu kuanzia mwanzo wake. Wadau karibuni!
 
Kwa mujibu wa biblia GIZA na MAJI vilikuwepo kabla hata ya uumbaji wa MUNGU.
Nimejibu hivyo japo swali lako sijalielewa coz nothingness means empty.
 
Uwepo wa ulimwengu mwanzo wake ni kuongopeana tu, kisayansi inakataa na hiyo ya kiimani ndio kabisaaa inagoma kuwezekana,kilichopo ni kuongopeana tu na kama upo kwenye mtihani we jaza tu ulivyofundishwa ili ufahuru mtihani.
 
Tujibu kwanza kipi kilitangulia kati ya kuku na yai kabla ya kupeleka mawazo mbali hivo.
 
Kisayansi hakuna kitu kama Nothingness.hata Kwenye vacuum kuna particles zinaitwa ions.hizi ions zinajitengeneza na kupotea haraka Mno,ila zinaweza kuwa detected na machine.kwa hiyo kama nothing haipo swali linakosa Msingi wa kusimama.
 
you have killed the topic..thanks!!!
 
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Binadamu tunazidi kuwa na maswali magumu sana, hapa hata Mungu kama kweli yupo basi lazima akune kichwa!! Who created nothingness?? Kabla ya nothingness kulikuwa na nini??
 
Kwa hizo story za kwenye biblia na kile alichokishusha allah zinadai mungu ndo muumba wa vyote.Nlitaka kujua kuhusu oxygen sababu kama pumzi aliiumba pale alipomuumba mtu nlitaka kujua hayo maji yalikua na composition gani?Maana yalitangulia kuumbwa.
Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?
 
Back
Top Bottom