Obama Care ni nini? Kwanini Trump haitaki?

Robert James Masunga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
414
395
wakubwa. amani iwe kwenu.

ninaomba tueleweshane kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili: Obama Care ni nini? naaa...

kwa nini Rais Donald Trump anaifuta?

naomba kuwasilisha.
 
Obama care ni huduma ya unafuu wa matibabu kwa wagonjwa,
na hii ikimaanisha kwamba serikali inalipa asilimia kadhaa za matibabu kwa wagonjwa, vilevile hata kwa walemavu.
Sasa huenda akaipinga kutokana na matakwa yake binafsi au yenye faida kwenye serikali cuz kila rais aingiaye madarakani huwa na mfumo wake wa kiutawala, mfano Magufuli alifungia semina nyingi pamoja na posho kwa wafanya kazi serikalini lkn kipindi cha kikwete viliruhusiwa.
 
Back
Top Bottom