Ubongo wa mwanamke unavyofanya kazi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,195
UBONGO WA KIUME NA WA KIKE.jpg

UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).

Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.

Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.

Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.

***This is how women brains work.
 
Sawa kabisa bro, nimekubaliana na ulichoongea japokuwa critics hazikosi.
 
Hasa on ' slow data transfer ' kutoka kwenye ile yake ya ' fast data transfer ' kwani kuna Mtu nipo nae sasa hivi hapa ' Ghetto ' ameganda tu bado katika ' slow data transfer ' hasa katika ' Kuchojoa ' ili ' Mkuyenge ' ufanye Kazi na tunapoelekea nadhani nitampa ' Kibao ' au ' Mbata ' ya ' fast data transfer ' itakayomwezesha kunipa ushirikiano wake wa ' kutukuka ' na hatimaye ' kunichojolea '.
Angalia asilikwepeshe hilo shavu ili mbata lisimpate maana mtoa mada amesema wana hisia sana
 
Sio kama ubongo wao uko active sana, bali wanawake wanamachale sana! Ndio maana ukijifanya unamkaribisha ndani anakuangalia mbele, akiona pametuna utasikia "ntaingia siku nyingine"...!!!
ha ha ha! lakwangu nalifungaga mapira matatu tena nakaza hlf akiingia tu nafunga mlango nafungua mapira dudu linasoma nyuzi 100%! hapo lzm nachi ichezeke
 
Mkuu mzizi mkavu nakibaliana na wewe ongawa wanae ni watu wanaweza kifanya kaz ngumu na zinazohitaj akil nyng wanawake n watu wanawwza kifamya kaz nyng kwa wakat mmoja au akapumzika kwa kipind kidogo akahamia kaz ingne spat picha mwanaume umuachie nyimba na wattoto kama sio nyumba basi wattoto utakuta kimoja kipo katika hali mbaya sana
Mwanaume n mtu wa dharau na kitokujal vitu vidogo ni rahis kusahau anaalolisema leo au analoambiwa lakin sio mwanamke anaweza akakaa hata miez nane akaja kukukumbusha kitu ukajiuliza kumbe alikua serious na alikiweka
Mwanamke hujua meng na huyasema machache
Lakin wnaume ss kuropoka ni kawaida na hattuna stahamilivu
 
Wakuu sometimes muwe mnajua kunanyuz za chit chat nyuz za jokes ni nzur kwa kifanya haya mambo ukija katika jukwaa la intelejensia try to be gt hata kama huwez just try hakuna alozaliwa na nguo ipo siku utakua gt na makamas katika ubongo yataisha
Nawasilisha
Mzizi mkavu njoo uendeleze uzi utuchambulie ubongo wa mwanamke
 
View attachment 502343

UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kukosea (multi-tasking).

Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi, lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.

Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages), kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction) zaidi ya mwanaume.

Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.

***This is how women brains work.
Nahili limke langu nililotoka kulidunda Jana kwa kuunguza mboga kisa kusuka shoka lake je limo ktk utafiti huu?
 
Back
Top Bottom