chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,580
- 15,792
hili swali limekuwa kichwani mwangu sana.
kwa nini msema ukweli si mpenzi wa wanadamu ?.
labda vitu tuangalie kwenye mapitio mfano:
yesu kuwekwa msalabani,s.w.a muhamad kukimbia madina kwenda maka.hata yesu alipo zaliwa alikimbizwa.hapo kuna mengi na manabii kwa dini zetu.
nimefatilia sana watu wengi walio taka kuitoa tongo tongo binadamu lakini mwisho wa siku ni kifo cha kukatizwa uhai.
wana jf embu tupeni visa vya wengi