It either occurs or it does not[kupata ama kukosa].

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,464
Ni kanuni ya maisha hii inajulikana kama "the all or nothing principle".
Kanuni hii ni maarufu sana shule za secondary kwenye somo la baiolojia kwenye topic ya mfumo wa fahamu[the nervous system].

Kwenye mfumo wa fahamu kanuni hii inatumiwa na milango yote ya fahamu yaani jicho,sikio,pua,ngozi,ulimi pamoja na jointi[proprioception] wakati wa kugenerate "nerve impulses" "depolarization waves" wengine huita " action potentials,A.P"

Kanuni hii inasema kwamba kama kiwango fulani cha "excitation" kwenye mshipa wa fahamu "nerve" hakijafikiwa basi hakuna taarifa yoyote{NERVE IMPULSE ama DEPOLARIZATION WAVE} itakayozalishwa na kusafirishwa kwenda kwenye ubongo ili basi jambo hilo liletwe kwenye level ya ufahamu.Kiwango hiki kinajulikana kitaalamu kama "threshold"

BASI,vivyo hivyo kwenye maisha halisi. Kwenye haya maisha ni ama kupata ama kukosa. Hakuna kitu kinaitwa "bahati mbaya ama nzuri" in real life. Ni kupata ama kukosa. Hakuna hata jambo moja hutokea kwa bahati, ni ama litokee ama lisitokee.
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyachukua kwenye maisha,kwani matokeo yake yatatoka kwayo,ama kupata ama kukosa.

Thanks intelligents.
 
Back
Top Bottom