Jamhuri ya Muungano wa Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamhuri ya Muungano wa Afrika Mashariki

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mlenge, Jul 19, 2010.

 1. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 369
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,250
  Likes Received: 15,061
  Trophy Points: 280
  OK
   
 3. M

  Mwanapropaganda JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2017
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2,123
  Trophy Points: 280
  Jamhuri ya kusadikika. Hakuna m-Tanzania anayeitaka, labda wale wahamiaji kutoka nchi jirani.
   
 4. kibanga 3

  kibanga 3 JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2017
  Joined: Jul 6, 2015
  Messages: 1,307
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Hiyo itakua jamhuri ya ndotoni sio Kwa tamaa za viongozi wetu
   
 5. MBIIRWA

  MBIIRWA JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2017
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 1,981
  Likes Received: 3,628
  Trophy Points: 280
  Nkurunzinza, MU7, Kagame na Magufuli wanavyopenda madaraka watasababisha mapinduzi.
   
 6. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2017
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 2,665
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  Mnakosea sana kumfananisha Rais wetu na hao wengine.hapa kwetu mkuu hata awe mkali vipi au awe na mapungufu vipi lakini baada ya kipindi cha miaka kumi hupisha na kumuachia mwingine,hii ni tabia ya kuigwa na mataifa mengine yenye viongozi wanao ng'ang'ania madaraka,nionapo mTanzania anajaribu kudharau hili binafsi namchukulia siyo mTanzania au ni mTanzania mwenye shida kifikla.mtu anadharau tulichonacho ilihali mataifa jirani na mengine ya mbali ukienda unawasikia wakiisema vizuri Tanzania.tuna shida ya kuponda sana kilicho chetu chema na kusifia kilicho cha watu kibaya na kukigeuza kua ndiyo chema,kisa tu mapenzi ya vyama.tubadilike na tuwe wazalendo.Rais wa awamu ya 3 alikua mkali pia kama huyu wa awamu ya 5,lakini kipindi chake kilipoisha alipisha kwa amani kabisa na kumpa kijiti mkuu mwingine,lakini mtu anajaribu kufananisha na viongozi wa nchi nyingine ambao ni wababe na hawataki kutoka Ikulu,mtu anajua kabisa lakini anajifyatua akili na kusema maneno kana kwamba wanaosoma alichoandika ni hawana akili.tupende nchi yetu,tupende na kuwaombea viongozi wetu na tuache mihemko isiyo na maana wala faida.

  JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
   
 7. MBIIRWA

  MBIIRWA JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2017
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 1,981
  Likes Received: 3,628
  Trophy Points: 280
  Hujui maana ya uzalendo na hujui ashara za dikteta kaa kimya
   
 8. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2017
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 2,665
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  Mtu makini atabaki kua mtu makini hata kama utaendeshwa na ujinga au mapenzi ya kisicho chema.watu wote ni wa MUNGU na anawatambua toka tumboni mwa mama zao,cheo cha RAIS kilijulikana na MUNGU toka enzi na enzi,kura za watu huja kukamilisha tu.hivyo basi RAIS wa nchi ni zao la MUNGU.na mapenzi ya kisiasa kwa mtu aliye gizani ni kitu kingine na kitabaki kua chake kama ulivyo

  JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
   
 9. k

  kinjumbi one JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2017
  Joined: May 27, 2015
  Messages: 547
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 80
  Tangia tumeingia ktk mfumo wa vyama vingi, ni kipindi gani watu wanaandamana eti wanataka raisi aongezewe muda!!? Yani hata term ya Kwanza haijaisha eti watu wahitaji kuongezewa muda! Ni jambo la kutafakari sana.
   
 10. kiumbe kipya

  kiumbe kipya JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 1,289
  Likes Received: 547
  Trophy Points: 280
  Rais wetu anapenda madaraka kwa lipi au bila kumtaja siku aijakamilika?

  Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
   
 11. Muuza nchi

  Muuza nchi Member

  #11
  Jul 12, 2017
  Joined: Jan 15, 2017
  Messages: 92
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  Mimi ndio rais wa Tanzania. Kwani nani asiyejua yeye ni rais. Iyo ndio sifa kuu ya mad
   
Loading...