Kijue chombo maalumu Inkwizisheni (Inquisition) cha kutesa

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Katika karne ile ya kumi na tatu kilinzishwa chombo cha papa cha kutisha mno - yaani, ile Inkwizisheni (Inquisition) [Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi, hasa katika karne ile ya 15 na 16; pia inaitwa ‘Ofisi Takatifu’ ambayo inaendeshwa na Majesuti
19171a9a12df9784874f0f9d4293c849.jpg



(Jesuits) au Chama cha Yesu (Society of Jesus)] ni chama cha KIKATILI SANA...katika post zangu humu JF nilishakieleza,....

31998305b1bb4e6bf94b258e3920e063.jpg



Mkuu yule wa giza alifanya kazi yake pamoja na viongozi wa utawala huo msonge wa kipapa. Katika mabaraza yao ya siri Shetani na malaika zake waliyatawala mawazo ya watu wale waovu, ijapokuwa alikuwa haonekani kwa macho, malaika wa Mungu alikuwa amesimama katikati yao, akichukua kumbukumbu ya kutisha ya amri zao zilizojaa uovu na kuandika historia ya matendo yao [ya kikatili] ya kutisha mno kuweza kuonwa kwa macho ya kibinadamu.

“Babeli mkuu” [Roma] alikuwa “amelewa na damu ya watakatifu” [Ufu. 17:5,6]. Miili ya mamilioni ya wafia dini iliyokuwa imeharibiwa vibaya ikamlilia Mungu ili apate kulipiza kisasi kwa mamlaka hiyo asi [Ufu. 6:9-11].


74a13126fcd9e55454e6bff59dc76025.jpg


Upapa ukawa dikteta dhalimu wa ulimwengu mzima. Wafalme na wafalme wakuu wa dola wakazipigia magoti amri za papa wa Roma. Hatima ya maisha ya watu, kwa wakati huu wa sasa na kwa milele zote, ikaonekana kana kwamba ilikuwa chini ya udhibiti wake. Kwa mamia ya miaka mafundisho ya dini kutoka Roma yalikuwa yameenezwa katika mapana yote na kupokewa na watu bila maswali, taratibu zake za ibada zikaendeshwa kwa kicho, sikukuu zake zikatunzwa na watu wote.

aa3b4c2050ac7ac0c73b8c75c3fbe67e.jpg

ORODHA YA MAFUNDISHO YA KIPAGANI YALIYO NDANI YA ROMA


Makasisi wake wakapewa heshima na kupewa mahitaji yao ya kimwili kwa wingi. Kanisa la Roma halijapata kamwe kufikia heshima kuu, ufahari, au mamlaka kuu kama ile.

5eeff1473198c5499c4dd499d6e45d22.jpg


Machi 12, 2000 Papa Yohana Paulo II (John Paul II) alikubali kwamba kanisa liliua Wakristo zaidi ya milioni 100, na akaomba msamaha kwa ajili ya mauaji yaliyofanywa na kanisa (thibitisha hapa:"Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?"]Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?)

Kwa vyovyote, hakuna kanisa lingine lililolewa damu ya mashahidi wa Yesu, ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee
12b2a8e80a5db8abae7005d6728447f0.jpg
 
Hakikuwa chombo bana,ile ni hali iliyopitiwa kipindi hicho wasio wakristo waliteswa na kuuawa sana
 
AROON
JF-Expert Member, 23
AROON was last seen:Jan 3, 2017 at 8:36 AM
About
Birthday:Jan 11, 1993 (Age: 23)
Interact
Content:
Find all content by AROON
Find all threads by AROON
Conversation:Start a Conversation
Signature
YHWH IS GOOD ALL THE TIME !!
 
Sometimes Jf unabishana bila kujua na vitoto ambavyo bado ubongo una_undergo maturity phase
AROON
JF-Expert Member, 23
AROON was last seen:Jan 3, 2017 at 8:36 AM
About
Birthday:Jan 11, 1993 (Age: 23)
Interact
Content:
Find all content by AROON
Find all threads by AROON
Conversation:Start a Conversation
Signature
YHWH IS GOOD ALL THE TIME !!

asante sana mkuu umenifanya nimuweke kwenye ignore list,
 
Back
Top Bottom