Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
<iframe width="420" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/0UP1OU9uQ2k" frameborder="0" allowfullscreen></iframe> are we alone? probably not, what do you think?
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Baada ya dunia kushuhudia anguko LA mfumo wa kijamaa baada ya vita baridi, sasa ni wakati wa kuona anguko lingine LA mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi. Baba wa demokrasia hii, US...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka 50 ya Uhuru: Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi Godfrey Dilunga TAKRIBAN miaka 17 iliyopita, Januari...
19 Reactions
125 Replies
30K Views
“When an old man dies, a library burns to the ground.” – African proverb In the wake of more than 50 holistic doctors dying in questionable circumstances few years ago, Dr. Sebi — known as the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imefika wakati wa kupima ubora wa elimu yetu kwa kuangalia idadi ya watu wanaokutwa na hatia na kwenda jela. Idadi ya wafungwa na magereza yanatosha kutuonyesha tuna ubora wa elimu kiasi gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka kadhaa nyuma baada ya Kenya kupeleka majeshi somalia kupambana na Al shabaab ili kuisaidia serikali iliyokuwa imeelemewa na mzigo huo ndio Al shabaab wakaanza kuingia ndani ya Kenya kufanya...
22 Reactions
73 Replies
13K Views
Wapendwa naomba kujua ni kweli fisi anajinsia mbili (jinsia ya kiume na ya kike). Ndugu zangu habari zenu Si kweli kuwa fisi ana jinsia mbili isipokuwa fisi tuliyemzoea aitwae spotted hyena...
0 Reactions
14 Replies
27K Views
Salute comrades, Wakuu napenda sana kufuatilia Dunia na maisha ya wanadamu ilipotoka, ilipo na inapoelekea (Past,present & Future events) Sasa katika soma soma yangu kwenye vyanzo mbali mbali...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari za muda wanaJamvi Nyanja ya usafiri imekuwa ikikumbwa na kasumba mbalimbali ulimwenguni kutokana na hali za uchumi za watumiaji lakini pia ongezeko la watu ambalo huongeza uhitaji wa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Soma hapa sijapata muda kufafanua kwa kiswahili "Kids these days ... " At some point in every adult life, we all utter this phrase. No matter how young and hip you think you are -- use of the...
3 Reactions
93 Replies
11K Views
Hali iliyotokea juzi tarehe 5.03.2018 ilinitisha na kuniogofya nisijue nini cha kufanya wala sikujua ni kitu gani kimesababisha Jua kubadirika na kutengeneza hali yenye utisho mpaka sasa...
7 Reactions
223 Replies
21K Views
Salam Sana! Nimekuwa nikijiuliza bila majibu sahihi kwa yanayotokea duniani na jinsi binadamu tunavyoishi!! Kila binadamu anakua na kulazimika kutafuta pesa,bila pesa mtu haishi vizuri-swali ni...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Pombe ilikuwa imemwingia kichwani kiasi flani na kumfanya ajiskie kuwa ni jasiri kwa namna moja ama nyingine, aliamua kunyanyuka na kusogeleaa chumba kingine ambacho ndani yake kulikuwa kuna tukio...
40 Reactions
212 Replies
39K Views
Awali ya yote niwatakie afya njema wana jamvi na Mungu awabariki bila kuwachosha niende kwenye mada. Mwaka 1991 Baba yangu aliomba uhamisho kufanya kazi karibu na kijijini kwao ili aweze kuwa...
10 Reactions
51 Replies
12K Views
Heko kwenu wadau wa ulingo huu mwanana kabisa kwa ajili ya kujuzana mambo kadha wa kadha. Hivi karibuni nimesoma mahali kuwa Navigator wa ile ndege ya Israel iitwayo F-16 iliyotunguliwa na Jeshi...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
1. They do not accept that everyone is entitled to rights, and often encourages their supporters they need nothing from the Populist Government. i.e. security. 2. They have a tendency of abusing...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Na ni kweli kuwa na kiongozi wa kudumu kunatuwezesha nchi nzima kufanya kazi kwa kila mtu katika fani na wito wake. So kutatuwezesha kuwa kuwa na fikra kuwa tunae kiongozi basi kila mtu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
John Kibera lilikuwa jina lilotawala sana katika vichwa vya wanausalama wa Kenya kwa kuwasumbua kwa matukio yake ya kupora raia na kutishia maisha. John Kibera maarufu kama "DK Shah" alibadili...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Kiukweli amenichanganya sana baada ya kusema kwamba 99.9% ya Watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito mdogo na wenye kupata / kuugua Ugonjwa wa ' Utapiamlo ' huwa na uwezo mdogo sana wa Kufikiri /...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Poll Poll
A few days ago I happened to be listening to the news in Tanzania and the the minister of Work said something like this " I am glad the opposition now knows that development is brought by ccm and...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom