Dabby Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 324
- 259
Hbr za mida Wakuu,
Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India, Japo mgogoro bado Upo chini chini, mwenye sababu anisaidie maana nimefuatilia migogoro ya mipaka mingi sana.
Soo huwa sielewi kwanini India alishindwa vita iyoo?!!
Karibuni wakuu tulidadafue hili jambo..