Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Tunapozungumzia uchumi unakuwa tunazungumzuia makusanyo si matumizi, ndio maana uchumi unapimwa kwa GDP (Gross domestic product) kwa maana pato la taifa maana ya pato ni kile unachokusanya aidha...
5 Reactions
26 Replies
9K Views
African Congo (Zaire) – 66------------ ;Congo (Brazzaville) - 73; Ethiopia – 67---------; Ghana – 62; ------------Nigeria – 69; Sierra Leone 67----------; South Africa – 72; Sudan – 72...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Asalaam aleykum! Napenda kwanza kumshukuru ALLAH kwakunijaalia afya njema kwani wala si kwaujanja wanu ila ni kwa rehema zake.Dhumuni la kuletwa duniani ni kumuabudu yeye aliyeumba mbingu na ardhi...
7 Reactions
24 Replies
7K Views
1.Equatorial diameter 6792 km 2.Masa 6.4x²³ kg. 3.Mean distance from sun 228 million km. 4.Rotation period 1.03 day...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sherehe ya Waashanti ya viazi vikuu karne ya 19 kwa mujibu wa Thomas E. Bowdich Ngome ya Cape Coast Kasri la Elmina Historia ya Ghana ilianzia mbali sana, hata kabla ya ukoloni tunaweza...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Familia ya Beaumont ya watoto watatu ambao ni Jane Nartare Beaumont (alizaliwa 10 mwezi wa tisa1956), Arnna Kathleen Beaumont (Alizaliwa 11 mwezi wa kumi na moja1958), na Grant Ellis Beaumont...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Tarehe 18 Januari 2015 Idara ya usalama ya Agentina ilituhumiwa kuhusika na mauaji ya mpelelezi binafsi bwana Alberto Nisman aliyekuwa akitaka kuanika madudu ya serikali hiyo ikiwemo ufisadi...
11 Reactions
39 Replies
6K Views
“Kwa mamilioni ya watu ndani na nje ya Afrika, Kwame Nkrumah ndiye Afrika na Afrika ndiyo Kwame Nkrumah; Kwa Wakoloni na Mabeberu jina la Nkrumah ni laana kwao; kwa Masetla na Walowezi jina lake...
41 Reactions
62 Replies
15K Views
Kumbe m-pesa iligunduliwa kenya tena na kijana aliekua anafaya internship safaricom?? aaah... kumbe keyboard yangu nzima haya tuanzee Tangu kipindi cha mwisho cha kikwete kulikua na malalamiko ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina. Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
PICHA za kusikitisha zilizopigwa miaka zaidi ya 150 iliyopita zinaonyesha ukatili wa kutisha waliokuwa wanafanyiwa watumwa kutoka Afrika waliosombwa kupelekwa barani Amerika kwenda kufanyishwa...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
  • Closed
"Deception is a state of mind and mind of the State." - James Angleton CIA Chief of Counterintelligence (1954 - 1975) Alhamisi March 13, 1953 Washington D.C "Put that away." Hiyo ndiyo...
235 Reactions
668 Replies
102K Views
Inasemekana Marekani hupuliza kemikali aina ya alluminum,Strontium na Barium hewani kwa kutumia military na civilian aircrafts, je lengo ni nini?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Salaam! Katika kufuatilia fuatilia mambo hapa na pale ili kuongeza maarifa ndani yangu, nimejikuta natafakari kuhusu ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi na nikakumbuka kuna siku...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin. RAIS wa Urusi, Vladimir Putin akiwa amebakiza siku chache kabla ya kuingia katika uchaguzi mkuu, ameanika kiasi cha fedha alizojipatia kipindi cha miaka mitano...
7 Reactions
18 Replies
8K Views
Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na...
13 Reactions
110 Replies
31K Views
AN INDEPENDENT INVESTIGATION OF 9-11********** by Anonymous Due to concerns for his personal safety, the author has chosen to remain anonymous. Author hereby grants full permission to...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
BOKO HARAM MSHIRIKA WA MAREKANI NIGERIA Maneno yangu ni kama kitanzi, Yanakaza katika shingo za baadhi ya watu humu ndani Facebook, Usalama,viongozi na watu wa kawaida kama mimi,musinichukie...
13 Reactions
99 Replies
18K Views
Habari wana jf natumai ni wazima.Sijawahi kuanzisha katika jukwaa hili(home of great thinker) Leo ndo my first time.Hili huwa najiuliza lakini nakosa majibu.Soma kisa hiki hapa chini Mwanasayansi...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Geneva huu ni moja ya miji mikubwa huko Switzerland. Ukitaka kuupata kwa coordinates ni 46°12′N6°09′E / 46.200°N 6.150°E. Kitu kinachonishangaza ni kwamba kila shughuli unayoifahamu bhasi...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom