Conspiracy Of Michael Sata Death and Being Tanzanian immigrant

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,529
8,614
Todate in the circle of powers and Zambaa intelligence , its is believed that’s Michael Sata demise was an inside job to cover up intelligence failure to stop him from ascending to power .

——————————————————
Back in 2002, Sata sued Patrick Katyoka for alleging that his father, born in 1904, was a Tanzanian who migrated to Northern Rhodesia as a young man before World War I. In 2011, Government Spokesman Lt. General Shikapwasha claimed that Sata migrated to Zambia at the age 9, and based his assertion on what Willie Nsanda had previously said. Since no one has showed up with irrefutable evidence the claim still lingers in mere speculation. Conservers of oral history in Bembaland are Paramount Chief Chitimukulu and the Bemba Royal Establishment. They know Sata’s family tree and are therefore in a position to put the matter to rest.
——————————————————

A separate assertion had it that Sata originated from Tabora and still used to keep contact with his relatives even building them a small hotel Sata Hotel
The graves of the family and clan are there .

Grown in pastoral family they crossed to Zambia when he was nine years of age after long trek searching for pastures
His father decided to settle and started another family
 
Tusifukue makaburi ya watu, ya kwetu yakifukuliwa humu kuna watu mtabaki midomo wazi!.

P.
 
Very interesting...
Tanzania tuli-take advantage gani ya kiintelijensia kwa jamaa kuwa Mtanzania mwenzetu??

Maana mwanya kama huo akiupata Kagame, hatafanya kosa.
 
Mambo kama hayo hayawekwi wazi? Kama kweli ilikuwa inside job huwezi jua kwa nini walifikia maamuzi hayo
 
Possibly walim-eliminate kulinda tu "ego" ya nchi si zaidi ya hapo.

Maana jamaa inaonekana aliingia kwenye ukulu kwa default tu sio kwa design...
 
USA wameongozwa na rais mwenye asili ya Kenya

Marais wenye asili ya ujerumani 2 ,asili ya kidachi 3

Ina maana CIA walikuwa hawajui na ukizingatia USA ni Taifa kubwa lenye maadui lukuki unlike shithole countries

third world countries wana matatizo sana .....huku magu akipigiwa saluti na wanajeshi

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,amiri jeshi mkuu .....na kabla ya kuwa rais alikuwa mwana usalama pia na waziri ..social media militants mna matatizo sana

Madiwani na wabunge kila kukicha wanajiuzulu kumsapoti foreigner na mwaka 2020 anapita kwa kishindo
 
Ndio waende mbali hivyo kwa ajili ya Ego? Ina maana Idara yao nyeti haikujua hayo kabla? Basi ilikuwa ni failure ya Idara yao ya Ujasusi.
 
USA wameongozwa na rais mwenye asili ya Kenya

Marais wenye asili ya ujerumani 2 ,asili ya kidachi 3

Ina maana CIA walikuwa hawajui na ukizingatia USA ni Taifa kubwa lenye maadui lukuki unlike shithole countries

third world countries wana matatizo sana .....huku magu akipigiwa saluti na wanajeshi

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,amiri jeshi mkuu .....na kabla ya kuwa rais alikuwa mwana usalama pia na waziri ..social media militants mna matatizo sana

Madiwani na wabunge kila kukicha wanajiuzulu kumsapoti foreigner na mwaka 2020 anapita kwa kishindo
Alikuwa mwanausalama? Hahaha
 
America Is a no mans land ni mfumo tofauti alafu wao Rais wa nchi hawezi kubadili kitu kila kitu kinaamualiwa na system wanasema he is simply American spokes person ... hana uwezo wa kubadili watumishi CIA , Pentagon’s , federal reserve au popote hadi aletewe na akishatangaza waende hearing Bungeni live
Wao hata mimi au wewe wanakupa tu

Ila ukienda nchi zenye wenyewe kama UK GERMAN FRANCE CHINA RUSSIA etc wanasema lazima kizazi chako kiwe na miaka 300 yaaani you must trace four generation in your family line of both parents If you want high office ukiacha I waziri wa kawaida hiyo haina neno ila top ndio issue
 
Siku tukubadili katiba tukiwa na vyombo huru mfano
TISS na Vyombo ambayo bajeti yake haitegemei Fadhili za Rais
Bunge na Mahakama nao wawe huru pesa yao Itoke direct treasury na sio Fadhili za Rais kama Sasa
Hata tutawaliwe na kichaaaa hataweza yumbisha
Sio ambaye anaweza hata kuoangua RSO DSO behind the scene
 
kwa hiyo usalama wa taifa wa zambia wakaamua kuwa wazalendo na kumuuua?that's good,mtoto wake anaitwa Kazam satta alikuwa kiburi sana yeye kumuambia mtu nitakuua ilkuwa ni issue ndogo sana,actually yeye na baba yake waliua sana,ukicheki archives za www.zambiawatchdog.com utaona madudu yao,mbaya zaidi wakati huyo "Mtanzania"sata kazidiwa kulikuwa na plan ya kumfanya mke wake awe Rais.
 
America Is a no mans land ni mfumo tofauti alafu wao Rais wa nchi hawezi kubadili kitu kila kitu kinaamualiwa na system wanasema he is simply American spokes person ... hana uwezo wa kubadili watumishi CIA , Pentagon’s , federal reserve au popote hadi aletewe na akishatangaza waende hearing Bungeni live
Wao hata mimi au wewe wanakupa tu

Ila ukienda nchi zenye wenyewe kama UK GERMAN FRANCE CHINA RUSSIA etc wanasema lazima kizazi chako kiwe na miaka 300 yaaani you must trace four generation in your family line of both parents If you want high office ukiacha I waziri wa kawaida hiyo haina neno ila top ndio issue
Kwa ufaransa baba yake Sarkozy ni mhungary na alizaliwa Hungary ila Sarkozy alizaliwa Paris na amekuwa rais

Mgombea urais mwaka 2012 Eva joly ni MNorway alizaliwa Norway na ana uraia pacha wa Norway na Ufaransa lakini usalama wa Taifa ulimruhusu na aligombea urais

..turudi Nyumbani tuseme rais asili ya mababu zake si wazawa halisi na tuseme anatumiwa na ana nia ovu kamwe hatoweza kutekeleza sababu amezungukwa na wazawa kila mahala na idara yote wazawa lukuki nani atakubali nchi yake inasalitiwa anyamaze tuseme mmoja ,wawili wameuchuna hivi 100 ,300 wengine watanyamaza wote ?

Rais akionekana ana hujumu kupitia mikataba bunge lipo lina mu-impeach ,idara ipo na wapo kitambo kwenye system na rais hawezi kupenyeza wakubwa na wakongwe na maafisa wengine wazawa wapo hivyo ni impossible

Marais wanakuja na kuondoka Tiss ipo kabla na itakuwepo wamefanya kazi na marais waliotangulia na atayekuja ,hivyo usidhani wanaona usaliti watanyamazia hapana..napinga 100% wakiona ujinga nyaraka zinaachiwa bungeni anakuwa impeached na kushtakiwa ..vigumu na haiwezekani
 
Ndio maana viongozi wengi Wasio na uhalali kazi yao ya kwanza wakiiingia ni kudhoofisha intelligence na jeshi .. kwa njia kama limiting recruitment , training , financing , rolling stock weakening etc kwa sababu kiapo chao ni dhidi ya Adui yeyote wa nchi au msaliti wao hawamwamini yeyote

Mfumo wa intelugensia unatoka Roma ya kale ambao wao hata Pope akizungua wanamalizana naye au wanasema ni mgonjwa anakaaa pembeni on medical ground ... nation comes first .

Kwa mfumo wa Sasa Vatican Inadhibiti hadi White House ... FBI, cia and national security advisers since September 11
Wakuu wote wa hizo organs ni Jesuit trainers cops
 
Kwa ufaransa baba yake Sarkozy ni mhungary na alizaliwa Hungary ila Sarkozy alizaliwa Paris na amekuwa rais

Mgombea urais mwaka 2012 Eva joly ni MNorway alizaliwa Norway na ana uraia pacha wa Norway na Ufaransa lakini usalama wa Taifa ulimruhusu na aligombea urais

..turudi Nyumbani tuseme rais asili ya mababu zake si wazawa halisi na tuseme anatumiwa na ana nia ovu kamwe hatoweza kutekeleza sababu amezungukwa na wazawa kila mahala na idara yote wazawa lukuki nani atakubali nchi yake inasalitiwa anyamaze tuseme mmoja ,wawili wameuchuna hivi 100 ,300 wengine watanyamaza wote ?

Rais akionekana ana hujumu kupitia mikataba bunge lipo lina mu-impeach ,idara ipo na wapo kitambo kwenye system na rais hawezi kupenyeza wakubwa na wakongwe na maafisa wengine wazawa wapo hivyo ni impossible

Marais wanakuja na kuondoka Tiss ipo kabla na itakuwepo wamefanya kazi na marais waliotangulia na atayekuja ,hivyo usidhani wanaona usaliti watanyamazia hapana..napinga 100% wakiona ujinga nyaraka zinaachiwa bungeni anakuwa impeached na kushtakiwa ..vigumu na haiwezekani

Bunge lipi
 
America Is a no mans land ni mfumo tofauti alafu wao Rais wa nchi hawezi kubadili kitu kila kitu kinaamualiwa na system wanasema he is simply American spokes person ... hana uwezo wa kubadili watumishi CIA , Pentagon’s , federal reserve au popote hadi aletewe na akishatangaza waende hearing Bungeni live
Wao hata mimi au wewe wanakupa tu

Ila ukienda nchi zenye wenyewe kama UK GERMAN FRANCE CHINA RUSSIA etc wanasema lazima kizazi chako kiwe na miaka 300 yaaani you must trace four generation in your family line of both parents If you want high office ukiacha I waziri wa kawaida hiyo haina neno ila top ndio issue
No wonder America is the most powerful Nation
 
Back
Top Bottom