Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wakuu habarini za muda,nimekuwa mfuatikiaji sana wa mada za hapa jamii intelligence.. Sijawahi kuona uzi unaoelezea maana au fumbo lililopo katika zile tarakimu 666 kama zinavyoelezewa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wakuu nazani nipo jukwaa sahihi kuna maswala machache yananichanganya sikumbuki lini nilisikia hili neno time travel nikawa interested kufuatili lakini nikaambulia kapa sijui ni lugha...
7 Reactions
106 Replies
23K Views
Yafuatayo ni majibu ya chama cha CUF kuhusu sakata zima la muafaka kama walivyotoa jana. CCM na nyinyi kama mnayo majibu yenu penyezeni hapa mwanakijijiatklhnews.com ondoa neno "at" na weka alama ya @
0 Reactions
53 Replies
7K Views
1.Alexander the Great. Huyu jamaa alitawala Macedonia kuanzia mwaka 336-323. Alianza kutawala akiwa na miaka 20 tu. Huyu ndiye aliangusha utawala wa Waajemi ambayo ilikuwa dola kubwa sana...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukhran zangu dhati kumshukuru muumba mbingu na nchi kwa kunipa nafasi hii kuweza kujumuika na wanajukwaa wenzangu katika makala hii ya Black dahlia.Pili natanguliza...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Kati ya mwaka 1500 na 1800 kulitokea biashara ya utumwa ambayo inaitwa barbary slave trade. Hii ilifanywa na watu wa Morocco, Tunisia, Libya na Algeria ambao walikuwa wanafanya wazungu watumwa...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Hbr za mida Wakuu, Hivi kuna sababu zipi zilizopelekea kushindwa kwa India katika vita ya 1962.Kwa sababu ya Mpaka kati ya China na India, Japo mgogoro bado Upo chini chini, mwenye sababu...
1 Reactions
78 Replies
10K Views
Iodine ni madini yanayozalishwa baharini na kumwagwa nchi kavu ambako yanaingia chini kwenye miamba, hivyo upatikanaji wake unategemea zaidi aina ya udongo na vyakula vya baharini. Kutokana na...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Asubuhi moja ya Januari 15, 1947, mama mmoja akiwa na mwanae katika misele ya hapa na pale jijini Los Angeles alikutana uso kwa uso na mwili wa binadamu ambao ulikua umetenganishwa katika sehemu...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Salaam Wakuu! Naleta kwenu hii hoja, yamkini wapo wengi wanajiuliza swali kama hili. Kiukweli sina jibu, ila nimeleta huku kuna watu watasaidia kulifumbua hili. Jambo la kujiuliza je Kuna watu...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Niseme ukweli nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali katika jukwaa hili na nikatamani nami kuleta bandiko moja ila kutokana na ratiba kuingiliana muda ukawa hautoshi. Kuna maneno nimekosa...
59 Reactions
118 Replies
17K Views
JUZI TAREHE 14/06/2011ASKARI WA ESALAMA BARABARANI "Traffik" wakiwa hawakuvaa sare zaowaliingia kijiji cha Murunyinya (Nyakiziba) wilayani Ngara "eti kukamata pikipiki zisizohalali nyumba kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni aghalabu sana kiongoz wa kiimani kuruhusu waumini na wasio waumini kuuliza maswali baada ya mada. Pengine utamaduni wa kuuliza maswali magumu ungekuwa ni Lazima, tusingeshuhudia utitiri wa...
6 Reactions
368 Replies
55K Views
Musa, Yesu, Paulo wote Ni watu mashuhuri katika Dunia ya leo, hata Muhamadi aliwatambua Musa na Yesu, Biblia na Kurani Ni vitabu mashuhuri pengine kuliko vyote dunia hii ya leo, viini vyake ni...
4 Reactions
146 Replies
12K Views
Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania. Je kuna mtu awaye yeyote...
4 Reactions
201 Replies
69K Views
(mode hii ni ya ki intelijensia zaidi, usiihamishe plse) Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye...
29 Reactions
194 Replies
28K Views
Sababu hasa za kuwindwa, kungolewa madarakani na hatimae kuuawa kwa Muammar Gaddafi zawekwa wazi kupitia mtandao wa Wikileaks
7 Reactions
54 Replies
11K Views
1. Linguistic intelligence reflects the ability to read, write, tell stories, and learn languages, grammar, and syntax. Strengthen this ability by studying a new language, improving vocabulary...
5 Reactions
51 Replies
16K Views
Wakuu natumai mko wazima wa afya! Leo nimeleta mada hii ili tuweze kujua historia ya hii jamii ya maninja. Maninja ni moja ya jamii zilizokuwa hatari sana miaka hiyo... Sasa wakuu aka GREAT...
1 Reactions
39 Replies
12K Views
TURUDI MOJA KWA MOJA KWENYE MADA ILIYONIRUDIA TENA HAPA JUKWAANI Baada ya kuona watu wengi sana waJF wakiwa interested na masuala ya kijeshi nimeamua kuvutika kwa wote katika mada hii nzuri...
25 Reactions
113 Replies
31K Views
Back
Top Bottom