Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Jana nimeona wakati wa upokeaji wa ndege yetu mpya aina ya boeng 220-300.
Raisi,makamu wa raisi,waziri mkuu,spika wa bunge,jaji mkuu na wakuu wa vyombo vya usalama wote kwa pamoja waliingia ndani ya ile ndege kupata picha na kuifanyia uzinduzi.
Kiusalama ikoje iwapo ikatokea hujuma mle kukapigwa bomu,ina maana tutawapoteza hawa kwa mkupuo.
Hili huwa linazingatiwa au hapana.
Nasikia huwa siyo nzuri kiusalama hawa watu kuwepo pamoja sehemu moja.