Nini tafsiri ya ndoto hii ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Bujibuji, May 15, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,720
  Trophy Points: 280
  Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa.
  Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
   
 2. M

  Mama PC Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nadhani utakuwa kiongozi soon, kwa either ofisini, nchini au whatever, kwa watu waliokuwa wamekata tamaa na wewe utakuwa nuru yao.
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,872
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  mmh kijana hujakua bado??usipende kusema ndoto yako in public!!sina mengi kwa hilo
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Siku zako zi ukingoni!
  Tengeneza mambo yako kiroho!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,720
  Trophy Points: 280
  vp? Na wewe unaamini kwenye lile la kutembelaea nyota? Kweli magileti sinka mna mambo.
  Ndoto ni ndoto sometimes zina maana na sometimes uzushi mtupu
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,720
  Trophy Points: 280
  Kila nafsi itaonja mauti, na huwezi onja pepo kabla hujaonja mauti
   
 7. Wandah

  Wandah Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me napita tu, ntarudi baadae kidogo.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,008
  Likes Received: 2,778
  Trophy Points: 280
  ......????
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160

  Buji... I hope mambo yako ya siku mbili tatu za nyuma yalokuzingua yako poa sasa...

  Inabidi uangalie historia yako, kuna watu hua wana bahati ya kusoma ndoto zao tokana na historia yake.... Naamini ni mtu mzima hivyo kama hujawahi ota kabisa hivyo... ina maana ni moja tu ya zile ndoto ambazo hutokana na kukumbuka au mawazo. Personally kama a very close person of mine is about to die I dream a lot about death.... It's a terrible experience hua na haha mpaka tatizo linapotokea nakua nisha lose hope, energy and the person I love...

  Nasisitiza kama si kawaida kuota marehemu... I deeply believe ni ndoto tu..
   
 10. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>

  Mmh! ..hapa sasa nadhani ushiriki wa Sheikh Yahya nao unahitajika jamvini, teh!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160


  Bana tafadhali... Jamaa mzushi tu yule.....
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kuna taifa litaundwa nawe utakuwa mtawala wake
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umewamiss marafiki zako waliokufa zamani....
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,992
  Likes Received: 3,176
  Trophy Points: 280
  Inamaanisha kuwa hao watu wengi walio kufa ni ccm na wewe uliyehai ni CDM!

  Hiyo ndoto ni yakweli kabisa kiongozi tena itatimia kabla ya 2015
   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,992
  Likes Received: 3,176
  Trophy Points: 280
  Inamaanisha kuwa hao watu wengi walio kufa ni ccm na wewe uliyehai ni CDM!

  Hiyo ndoto ni yakweli kabisa kiongozi tena itatimia kabla ya 2015
   
 16. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duh,Pole......Kama ni kweli yawezekana ukawa na promotion itakayokuhitaji kujitoa sana katika kuwapa wengine uwezo wa kusimama katika nafasi na utendaji wao......Vingenevyo yabidi nawe "ujivue gamba"
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,489
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ingekuwa kila ndoto tunazoota tunaomba maana walahi tungechanganyikiwa
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Furahia maisha acha kujipa presha na ndoto...mi hua nafikiria zinazonifurahisha nyingine napotezea!!‘
   
 19. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bujibuji, dont die my dear, l love u and l need you more than l can say.
   
 20. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,699
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hahahaha.....!

  I like ur ID coz its a nick name we r using with my work mates.
  .
   
Loading...