Mwanzo 11 mstari wa 4
Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kwa nini nchi za kiafrika hasa zinazokaliwa na watu wengi wakiwa na ngozi nyeusi tuna matatizo kila kona japokuwa tuna rasilimali nyingi sana zinazoweza...
Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa muda wa miaka kama 20 hivi nimekua mshabiki na mfuatiliaji sana wa muziki wa reggae na waimbaji wake. Nimesoma taarifa mbalimbali juu ya waimbaji wa muziki huu hasa...
Baada ya kusoma kitabu cha messengers of deception by an UFO investigator Jacques Valley, akielezea uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine baadhi ambazo hazijavumbuliwa wanaokuja mara kwa mara...
MBWANA Samatta anaendelea kusuka rekodi za soka kwenye ardhi ya Tanzania. Anavunja dari za kioo zilizozuia wengine wasipasue anga. Anatuonesha kuwa mbingu pekee ndio inaweza kuwa ukomo wake. Yes...
Habari wakuu. Naamini wote ni wazima katika safari yetu ya Maisha ya sasa hapa duniani.
Nimependa kuanzisha mada hii kutokana na kuwa ni watu wachache sana walioweza kujifunza hili. Katika...
Nawasalimia ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku.
Utangulizi
Leo nitaanza kuelezea jambo la namba. Namba ambayo nitaielezea leo ni namba 8. Nitaeleza jumbe mbalimbali na siri iliyopo...
Wakuu heshima zenu.
Naomba kujua kuhusu protocal za ulinzi wa rais, hawa huwa wanateuliwaje? Maana katika pitapita zangu leo nimebaini kwamba aide-de-camp wa Rais Magufuli, ndiye yuleyule...
Katika riwaya hii ya kusisimua ya THE DOOMSDAY CONSPIRACY, mwandishi Sidney Sheldon anatujuza kuwa Shirika la Ushushushu linalohusika kunasa mawasiliano la Marekani(NSA) linahaha kuhakikisha...
Habari ya mwisho wa juma wakuu.
Matumaini yangu mko buheri wa afya.
Leo wakati napitia parua-pepe kusoma makala toka mitandao niliyojiunga (subscribe) nikakutana na hii habari kuhusu kampuni...
Kuna baadhi ya wanasayansi husema kuwa mtoto anapozaliwa anakua ni tablalasa ( empty head) , lakini pia mtoto anapozaliwa kuna vitendo anavifanya bila kufundishwa mf . Kunyonya
Je ukweli ni upi...
Nimewahi kukutana na kufanya mahojiano na wauaji au watu waliopata kufanya mauaji, karibia wote wana kitu kimoja hawaachi kukisema; kuandamwa na sura za marehemu
Wengi wetu pia tulishawahj kuona...
Nimekua nikisikia hata mtu akiuliwa anatobolewa macho ili isiwe rahisi waharifu kugunduliwa.
Hilo jambo lina ukweli marehemu ubaki na taswira kwenye macho?
Hiyo taswira huonekana kwa kutumia...
Jamatano ya April 29 mwaka huu, dunia itaponea chupuchupu kugongana na kimondo kilichopewa jina Asteroid (52768) OR2 1998 chenye kipenyo cha kilomita 4.1 kilichogunduliwa mara ya kwanza 24 July...
Hebu tuwe na mjadala tofauti kidogo na huu ugonjwa wa corona maarufu kama COVID19.
Tuanze na tabiri mbali mbali.Kuna machapisho na makala yaliyotabiri huu ugonjwa hapo kabla na sasa imetokea kama...
Wanasayansi wengi wamekuwa wakielezea ulimwengu wetu kuwa ni dude kubwa mno lisilo kuwa na mwisho(means the universe size is almost infinity)
Leo hebu tuchambue na kuangalia ukubwa wa dunia yetu...
Swali hili linataka majibu kuhusu namna uhalifu ulivyofanyika, na wapelelezi wana wajibu wa kuieleza mahakama 'kuhusu' historia hiyo ya tukio la uhalifu.
Mtu mmoja alipiga simu kituo cha polisi...
—Emancipate Yourself From Mental Slavery,None But Ourselves Can Free Our Minds -Bob Marley,Redemption.
Religions spend all its time in spreading myths of the past and fantasies which have created...