Uongo wa dini za kihuni za Mashariki ya Kati(Middle East)

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Kwanza nawasalimu kwa amani na furaha juu ya wrote walio katika mda huu macho. Mm binafsi ni MTU ambae najipambanua kuwa napinga na nazichukia dini za nje ndani ya bars la Afrika.

Na katika hili sitaacha kuwakumbusha watu wa Afrika ya kuwa tusikubali kuamini kuwa Afrika hakukuwa na hakuna dini. Dini za Mashariki ya kati zinamafunzo yasio sahihi kwa Afrika kwa sababu zifuatazo.

1. Zinamfanya mwafrika kuwa duni na masikini wa akili,(fikra),Mali na tamaduni(mtindo wa naisha. Kunafaida nyingi sana kufungamana na Imani za kiafrika kuliko hizo za nje ambazo hazina uhalisia.

2. Zinachochea Ubaguzi, Chuki,Kisasi n.k.

3. Hazitambui uwepo wa MTU mweusi popote duniani na hazimthamini.

4. Zipo Afrika kupeleleza na kutimiza matakwa yao tu. NB: Pamoja na matatizo mengi yanayosababishwa na dini hizo ila pia zinamafundisho mengi ya uwongo. Hata aibu hawana na hii yote imetokana na watu kushindwa kukubali vitu vya msingi na kufanya uwongo kuwa ukweli.

1. Shetani ni kiumbe na anaishi.
Watu kwa makusudi wanajitia ujinga na kufikia hatua ya kuamini kuwa shetani aliumbwa na anaishi duniani. Maovu yote yametokana na yy na mazuri ni kwa mungu. Mafundisho ya namna hii yanaonyesha ni kwa namna gani wamekuwa wakitudanganya. Iba,UA,Dhurumu alafu singizia shetani amekushawishi.

2. Kifo kinasababishwa/kuletwa na malaika anaetekeleza amri ya mungu. Mafundisho haya yanazihirisha ni namna gani mafundisho yao yote ni batiri na ni yauongo. Mazingira na hali yako ndio hupelekea kifo.

3. Kuna Malaika duniani na wanaishi na kufanya kazi zao.

4. Shahawa ni najisi na haitakiwi. Sisi sote ni matokeo ya shahawa.

5 Uchawi haupo na usiamini kutenda. Hapa naamini wote mnajua nguvu za giza zilivyo na athari ktk ulimwengu huu wa Mwili.

https://https-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/threads/ukweli-usiosemwa-juu-ya-dini-za-kiafrika.1589649/?iorg_service_id_internal=925946837445621;AfrVJkx5iXIEADh0

Saizi wameungana kwa denda mashehe na mapandre yaani full kunyonyana mate. Denda tu na hawa watu wanajua wanachofanya na wamoja.

INAENDELEA
 
Mkuu tujuze Wewe unaamini kama Mungu yupo au unaamini katika Mwingu?
Je Dini ipi ya Kiafrika unayo ikubali?

Je sababu zipi zilikufanya kutoamini Dini zilizo anzia huko middle East?
 
Waafrika tuliacha majina yetu ya asili tukachukua majina ya wageni. Tembea dunia nzima huwezi kuta mzungu anaitwa masawe au mkude.

Nirudi kwenye mada, hata mimi huwa najiuliza sana afrika hatukua na dini zetu?
 
Uchawi haupo ndio sasa unapobisha na kusema upo bila kututhibitishia inaonesha kuwa ata hiyo Dini yako ya kiafrica ina mambo kibao ya uongo
 
IMG_3006.JPG
 
Muwe mnaeleza ukweli kuwa hata hao wazungu na waarabu nao walikuwa na imani za mababu zao kabla ya ukristo na uislamu,ila nyie mnataka kulalamika kama nyie pekee yenu tu ndio mlikuwa na imani za mababu. Ndiyo maana waafrika wakianza kulalamika utumwa utadhani ni wao tu pekee ndio walifanywa watumwa dunia hii hakuna jamii zengine zilizofanywa watumwa.

Imani za mababu zenu zimepotea kama zilivyopotea imani za hao wa mashariki ya kati walizokuwa na,o kabla ya uislamu na ukristo.
 
Kwan uisilam na ukristo kaleta nani? wameamua Ku centralize iman zao tena kwa nguvu ya dola na umwagaji damu. Afrika watu hakuuana ili kulazimisha imam fulan zifuatwe.
 
Uchawi haupo ndio sasa unapobisha na kusema upo bila kututhibitishia inaonesha kuwa ata hiyo Dini yako ya kiafrica ina mambo kibao ya uongo
Kama unajielewa hauwezi pinga uwepo wa uchawi duniani. Trick na magic zipo and are applied everyday.
 
Mbona umeeongelea zaidi Afrika. Hujui hizi dini zimesambaa dunia nzima mpaka China na huko Japan? Je,huko napo kuna waafrika?!!!!
Mamluki wapo ila sisi tumelewa na hatujiwezi kabisa. Watu wanaamini kabisa eti bible na Quran ni vitabu vya mungu muumba japo wanaachana ila wote wame_ side na hzo middle east traditions
 
Uzi siyo mzuri, hujapangilia mada, unachotaka tukijue na kukiamini hata kukielezea huwezi! Zaidi huna hoja kabisa zaidi ya maneno maneno tu
1. Uzi sio mzuri 2. Sijapangilia mada 3. Sijaelezea vizuri 4. sina hoja.

Answers:
1. Open your mind and be free utapenda mada hii unless you are white man.

2. Logic sequence sio inshu sana maana what matters is fact, comment accordingly.

3. You are welcome if you need more clarification, just comment your doubt and you'll be answered

4. Hoja IPO ndugu tatizo umepanic.

NB; Kabla hauja comment fuatilia comment za wengine itakusaidia kuelewa
 
Mkuu tujuze Wewe unaamini kama Mungu yupo au unaamini katika Mwingu?
Je Dini ipi ya Kiafrika unayo ikubali?
Je sababu zipi zilikufanya kutoamini Dini zilizo anzia huko middle East?
100% naamini muumba yupo ila vitabu na iman za mashariki ya kati sio sahihi na upoteshaji mkubwa kwa Afrika. Ukiamini wao basi utakuwa unakubali muumba anaubaguzi na ametulaani wa Afrika kitu ambacho sio sahihi. Alituumba na tukawa tunaishi kufuata asili na uhalsia wetu tangu ametuumba. Others wamekuja karibuni tu na kudai njia yenu siosahihi na kweli tukaacha iman naibada zetu.

Mfumo nitofauti usilazimishe uwe kama wao mfano Kitabu,Majengo n.k. Tumetofautiana na wao so usitake Ku clone
 
Waafrika tuliacha majina yetu ya asili tukachukua majina ya wageni. Tembea dunia nzima huwezi kuta mzungu anaitwa masawe au mkude.
Nirudi kwenye mada, hata mimi huwa najiuliza sana afrika hatukua na dini zetu?
Zipo na mfumo wake tofauti na uisilamu na ukristo
 
100% naamini muumba yupo ila vitabu na iman za mashariki ya kati sio sahihi na upoteshaji mkubwa kwa Afrika. Ukiamini wao basi utakuwa unakubali muumba anaubaguzi na ametulaani wa Afrika kitu ambacho sio sahihi. Alituumba na tukawa tunaishi kufuata asili na uhalsia wetu tangu ametuumba. Others wamekuja karibuni tu na kudai njia yenu siosahihi na kweli tukaacha iman naibada zetu.

Mfumo nitofauti usilazimishe uwe kama wao mfano Kitabu,Majengo n.k. Tumetofautiana na wao so usitake Ku clone
Hapo nimekupata vizuri
Niishie kwakusema kwamba umeamua mwenyewe
Tukutane peponi
 
Kwan uisilam na ukristo kaleta nani? wameamua Ku centralize iman zao tena kwa nguvu ya dola na umwagaji damu. Afrika watu hakuuana ili kulazimisha imam fulan zifuatwe.
Uislamu umeletwa na waarabu na ukristo umeletwa na wazungu na hao wote walikuwa na imani za mababu zao ambazo ziko kinyume na uislamu na ukristo,halafu pia hoja ya kwamba nani kaleta dini haina mashiko sana kwa sababu hata sasa kuna wahindi kibao waislamu huja hata huku Tz kwa ajiri ya dini na tunajua wahindi wana imani zao za asili. Hizi dini zimesambaa sehemu nyingi duniani ila waafrika kwa vile tumezoea kulalamika basi tunajiona kama hizo dini tuliletewa sie tu
 
1. Uzi sio mzuri 2. Sijapangilia mada 3. Sijaelezea vizuri 4. sina hoja. Answers:
1. Open your mind and be free utapenda mada hii unless you are white man.
2. Logic sequence sio inshu sana maana what matters is fact, comment accordingly.
3. You are welcome if you need more clarification, just comment your doubt and you'll be answered
4. Hoja IPO ndugu tatizo umepanic.
NB; Kabla hauja comment fuatilia comment za wengine itakusaidia kuelewa
Unajisikiaje unapotumia kiingereza kujadiliana na waafrika wenzako?
 
Back
Top Bottom