Girl Next-door
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 242
- 509
CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.
Mimi dada yenu na urembo na umri wangu huu sijawahi kusikia katika vyombo vya habari eti kuna mtu hapa Africa amekamatwa na kushatakiwa eti kwa kufanya kosa la kufanya ujasusi (espionage)
Hawa spies ina maana hawakamatwi ama wakimatwa wanarudishwa nchini mwao?
Yours faithfully,
Girl Next-door,
Nawasilisha.