Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
Salaam ndugu wa jf
Natumai wote ni wazima huku tukiendeleza gurudumu la maisha mbele
Bila kichelewa naomba niingie moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kiilezavyo
Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi,,tafiti za kisayansi hasa katika masuala ya rangi katika race mbali mbali ila leo nitazungumzia blackpeople..
Hivyo wanasayansi wanasema binadamu wa kwanza alipatikana Africa na hivyo alikua na ngozi ya rangi nyeusi so kwa hoja hiyo inadhihirisha ya kwamba watu weusi ndiyo asili ya binadamu wote duniani
Hivyo asili ya ngozi ya rangi nyeusi imetokana na kemikalo ziitwazo melanin,,endapo mtu anakua na kemikali hizo za melanin ndani ya ngozi yake basi atakua na ngozi nyeusi.Kemikali za melanin zimetokana na mfumo wa aina tatu nazo ni neumelanin na pheomelanin na neuromelanin
Ngozi nyeusi na nywele ni ndani ya mfumo wa eumelanin,,pia pheomelanin inasababisha mtu kuwa na nywele nyekundu na nywele za pink kwa mbali
Eumelanin pia inatusaidia kujilinda na madhara ya miale ya jua kwa hiyo kama nchi za Afrika tuishivyo karibu na ukanda wa mstari wa ikweta ambapo ni maeneo ya joto na jua kali kuwa na kemikali ya eumelanin ndani ya ngozi pia ukaadapt mazingira hayo basi ni jambo zuri kwa afya ya ngozi ya muhusika/wahusika
japo nimeeleza kwa kifupi ila nimeona tushare pamoja hiki hiki kidogo nilichonacho
Then kama kunamakosa then turekebishane kwasababu sisi sote tupo humu kujifunza
no one is perfect
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app