Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Tunaposoma kwenye biblia, kafara inatafsiriwa kama ishara ya utakaso na msamaha wa dhambi au kufanya mambo ambayo kwa hali ya kawaida haiwezekani isipokua kwa kumwaga damu . Yesu alitolewa...
7 Reactions
34 Replies
18K Views
Je, sisi asili yetu ni watu wazuri? Ukiangalia nchi yetu pmj na matatizo yoote ya Kiuchumi lkn bado ni nchi yenye Amani na Utulivu kabisa, hakuna mauwaji ya mara kwa mara ya kutisha kama nchi...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani inakuwaje kuwaje ukitumia simu za mezani za ttcl mambo poa,hata kwa sie wa siku nyingi walileta mradi wa simu za box unadumkiza sarafu unapiga,nazo zikawa safi na wakaweza ila za mkononi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jina la Kitabu.How to Negotiate Anything with Anyone Anywhere Around the World Jina la Mwandishi.Frank Accuf Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi: Mwandishi anasema kitabu hiki ni mwongozo kwa...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jamvi nimekuwa mfuatiliaji sana wa moderm war apparatus! nikawa mdadisi khs MISSILE! nadhani nikipata msaada wa elimu ya KOMPYUTA (SOFTWARE) na UTENGENEZAJI VICHWA VYA SILAHA (WARHEAD) kwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
tumeona technologia nyingi kama vile simu za samsung ambazo unaweza kufungua baadhi ya apps kwa kutazama kwa macho tu! pia kuna teknologia za ajabu kwangu kama vile uwezo wa bluetooth kuhamisha...
15 Reactions
227 Replies
46K Views
Zombie Apocalypse: US Army has Plan to Stop Attacks by the Undead By Ludovica Iaccino | IB Times – Wed, May 14, 2014 The US military has prepared a defence plan in case of a zombie attack. A...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Sheria inasemaje juu ya watoto chini ya umri wa miaka 8 kulazwa rumande kwa kosa la kushutumiwa kuvunja kioo cha gari wakicheza na mwenye gari akasisitiza watoto walazwe rumande? Tukio hili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu nafikiri/naamini kwamba watu ambao SIYO Wabaguzi kama vile sisi (Waafrika/Watz) tuna IQ ndogo ikilinganishwa na wale ambao ni Wabaguzi (Wazungu, Waasia,Waarabu, Wahindi n.k)...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Salaamu kwenu! Ninafahamu maana ya akili ni uwezo au weledi wa kutafuta jibu au utatuzi wa tatizo au changamoto. Sasa je ni nini kipimo sahihi cha akili ya binadamu? Watu huwa wanatumia kigezo...
0 Reactions
78 Replies
31K Views
Habari ndugu zangu. Kuna jambo moja kubwa sana hususani hapa Tanzania naomba tusaidiane kuelewishana. Nini kipimo cha elimu ya mtu? Elimu ya mtu huwezi kupima tu kwa kiwango cha mfumo tuliowekewa...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimeona majarida mengi na mashirika mengi ya utafiti yakitoa takwimu za watu wenye IQ kubwa duniani. Hivyo basi inaonyesha kipimo maalum cha IQ kipo. Naomba kujuzwa hiki kipimo nitakipata...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
UKWELI NA UONGO KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA, NA NI IPI NAFASI YA UKWELI KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA NA NI IPI NAFASI YA UONGO KATIKA MUKTADHA WA MAISHA YA KAWAIDA. Na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JE UKOMAVU WA KIAKILI NI NINI? SABABU ZINAZO PELEKEA MTU KUKOMAA KIAKILI, SABABU ZINAZO PELEKEA MTU KUSHINDWA KUKOMAA KIAKILI, JE UNAWEZAJE KUMTAMBUA MTU ALIYEKOMAA KIAKILI. NA, Mr PHILOSOPHER...
15 Reactions
43 Replies
8K Views
Kipindi ambacho mtoto ujifunza KUWA sauti/neno analolisikia mara kwa mara kutoka kwa wazazi wake ni jina lake, mtoto uanza kujilinganisha yeye na neno hilo, ambalo huja kuwa wazo kwenye fikra zake...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu. Katika maisha tunaona kila siku elimu ya teknolojia ikizidi kukuwa mpaka kufikia tusivo fikiria kama vina wezekana.mfano mzuri watu wanataka kwenda kuishi sayari ya...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Tanzania is sovereign country, we are not a colony no more, we have our sovereignty. Otherwise remove all sanctions against Russia for your speculations of interference in your democracy. More you...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MAWASILIANO YA SIRI, ISHARA NA DALILI Na, Robert Heriel. Jumbe hii isomwe kwa hekima kwao hao wenye hekima, tena wenye ufahamu wazidi kupata maarifa, lakini isomwe kipumbavu kwa hao wenye...
5 Reactions
3 Replies
4K Views
Since I was a young man I heard about these people, some are said they have high IQ than normal human being,and they scattered all over the world,but today I wait your contributions about it.but...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Nimekua nikiangalia muvi kwa mda kama wengi wetu tunavyo penda kupata muda kidogo wa kuufanya ubongo utulie kwa muda na kupata oxygen nzuri kama reserve kwa kuutimizia ubongo haja zake.. Yote...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…