Nje ya mbingu saba kwenye ulimwengu wa nyota

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Habarini ndugu zangu.
Katika maisha tunaona kila siku elimu ya teknolojia ikizidi kukuwa mpaka kufikia tusivo fikiria kama vina wezekana.mfano mzuri watu wanataka kwenda kuishi sayari ya marsi.

Tuje kwenye mada ya ulimwengu wa mbingu(nyota) au universe.elimu hii mpaka sasa imekuwa fikirishi sana na hata kuwa mambo ya ajabu sana.kwa wenye IQ ndogo unaweza kuona mtu ni kichaa au akili ilipofikia kufikiria ndio hapo umefikia.

Elimu ya universe ni kubwa ambayo hata matabaka tunayo sema kama kichwa cha habari mbingu saba mpaka sasa tumefikia robo ya mbingu moja .kwa nini ? Tumefika robo ya mbingu moja
Sababu kuna zaidi ya bilioni ya nyota na viunga vya nyota.hata kila binadamu aliye duniani na kilichomo kama punje ya mchanga ukikipa kila kimoja nyota basi nyota zitabaki bila hesabu.
images.jpeg-10.jpg

Je mbingu saba ni zipi!
Unapo sema mbingu saba tuna anza mbingu ya kwanza ambapo mimi na wote tulipo kwenye dunia na sayari zinazo zunguka jua na kutoka kwenye uwanja wajua kwa pamoja ni seme sayari zinazo zunguka jua kujumuishwa kuitwa nyota .hapa jua linakuwa linawakilisha sayari kwenye tabaka lake,kwa hiyo nyota tuliopo kwenye hiyo mbingu kuna mamilioni ya nyota kama nilivo sema hapo mwangu.sawa uchukue sababuni ya unga uweke kwenye maji alafu chembe ya unga wa subuni useme ndio nyota ya jua.

images.jpeg-11.jpg

Hapo nilipo weka alama ndo sisi na jua pamoja na sayari zetu. Kwenye kanyota kamoja.
Sasa kutoka duniani kwenda pluto ni miaka kumi . Na hapa bado ujamaliza nyota yako.
Watalaamu wanadai kuwa kwenye nyota yetu kuna zaidi ya sayari 10 tunazo soma darasani.ila kulingana na quantum mathematic compyuta kuweza kukukotoa kupata majira mda wakati ugunduzi unazidi kuwa mkubwa.

Aina za mbingu saba
1)modern universe
Hii kama nilivosema kuwa hapa ndipo tunakuwa na nyota ambayo hiyo nyota hipo kwenye mkusanyiko wa nyota (galaxies) kama mafungu ya mchele.
images.jpeg-12.jpg

2)first galaxies
Hii sasa tuna ita kama kutoka kwenye makundi ya nyota tuseme (mikoa ya nyota) kwenye nchi ya mikoa ya nyota.
Hapa ni kutoka kwenda galaxie moja kwenda moja ikiwa kwenye kundi moja yani (nchi ya mikoa yote mfano tanzania na mikoa yake jumla)

images.jpeg-13.jpg

3)parting company
Hapa tuseme kama tunavo kuwa duniani tukiona anga na mawingu yake.simaanishi hivo ni jinsi mfano kama tabaka la anga la nyota .
20200904_144958.jpg

Hapa sina elemu nako sana ndio maana hata mada zake hakuna anaye ongelea

4)big freeze out
Hii ni sehemu tabaka la anga kutaka namba 3 kinazalia kama sehemu yenye joto.lilo kufa na hakuna chanzo chochote kitakacho sababisha labda mlipuko,joto,chanya hewa,gesi uchanganyaji kama kumeganda au hakuna jipya
images.jpeg-14.jpg

5)quark soup
Ni anga kwenye mbingu ya tano yenye asili kuwa na asili ki miminika au tuseme kama layer za ukungu wenye karatasi asili ya ukuta kama mfano wa kioo ufananishwa na yai.ila ni mada hakuna aliyefika huko
images.jpeg-15.jpg

6)inflation
Hii ndio tabaka la mwisho likuwa kama tufe ndio mbebaji wa kilichomo tokea mbingu 1-5
images.jpeg-16.jpg

Inflation ndio hii
https___blogs-images.forbes.com_startswithabang_files_2016_01_1-D-Ph63ZFocRqbn0e8EYj8Q.jpg

Hapa ndio iliopo.

7) bing bang
Kiufupi ndio tuseme kama nyota mama inayo kuwa moja yani mbingu saba tu seme ndio nyota moja
Kutoka (wilaya>mkoa>kanda>nchi>bara>dunia)
Hapa nimetoa elimu rahisi kama kufikiria tu.
images.jpeg-2.jpg

Hapa nimekamilisha mbingu saba.
Je nje ya mbingu saba ni nini nje ya bing bang ??
Ni multi universe
Hapa wanataalamu wanazidi kutu fafanuliwa kuna nje ya mbingu saba na hii mbingu saba inaonekana kama hipo kwenye mkusanyiko wa mfano wafungu ya nyanya
images.jpeg-8.jpg

Na ndani kwenye multi universe kuna njee ya hii ili nayo uonekana
images.jpeg-7.jpg
images.jpeg-6.jpg
images.jpeg-3.jpg

Itaendelea
 
Unatuchanganya tu! Hebu elezea mantiki ya mada hayo ma Galaxy sijui Bing bang minyota tunaijua.. hebu eleweka vyema..
Halafu kuwa specific kutoka duniani mpk pluto inachukua miaka kumi kwa kifaa chenye kasi gani..?
Tuachane na hilo je,unafahamu big bang ni nadharia tu.. unaposema mbingu Saba unaelewa Kuna vitu vinaitwa dark matter na dark energy..?

Hebu tuachane na hayo malizia mada kwanza nisije kukuvunja moyo..😅
 
kama huna elimu, hii ndio maana mwanzo nimekueleza kuwa ukiwa na huelewa mdogo au kuto kutuliza akili sio lazima kusoma wala kucomment changia hoja
 
Leta muendelezo halafu Kuna tuswali hapo usianze kuhubiri kujua Wala kutokujua!.
 
Habarini ndugu zangu.
Katika maisha tunaona kila siku elimu ya teknolojia ikizidi kukuwa mpaka kufikia tusivo fikiria kama vina wezekana.mfano mzuri watu wanataka kwenda kuishi sayari ya marsi.

Tuje kwenye mada ya ulimwengu wa mbingu(nyota) au universe.elimu hii mpaka sasa imekuwa fikirishi sana na hata kuwa mambo ya ajabu sana.kwa wenye IQ ndogo unaweza kuona mtu ni kichaa au akili ilipofikia kufikiria ndio hapo umefikia.

Elimu ya universe ni kubwa ambayo hata matabaka tunayo sema kama kichwa cha habari mbingu saba mpaka sasa tumefikia robo ya mbingu moja .kwa nini ? Tumefika robo ya mbingu moja
Sababu kuna zaidi ya bilioni ya nyota na viunga vya nyota.hata kila binadamu aliye duniani na kilichomo kama punje ya mchanga ukikipa kila kimoja nyota basi nyota zitabaki bila hesabu.
View attachment 1558080

Je mbingu saba ni zipi!
Unapo sema mbingu saba tuna anza mbingu ya kwanza ambapo mimi na wote tulipo kwenye dunia na sayari zinazo zunguka jua na kutoka kwenye uwanja wajua kwa pamoja ni seme sayari zinazo zunguka jua kujumuishwa kuitwa nyota .hapa jua linakuwa linawakilisha sayari kwenye tabaka lake,kwa hiyo nyota tuliopo kwenye hiyo mbingu kuna mamilioni ya nyota kama nilivo sema hapo mwangu.sawa uchukue sababuni ya unga uweke kwenye maji alafu chembe ya unga wa subuni useme ndio nyota ya jua.

View attachment 1558091

Hapo nilipo weka alama ndo sisi na jua pamoja na sayari zetu. Kwenye kanyota kamoja.
Sasa kutoka duniani kwenda pluto ni miaka kumi . Na hapa bado ujamaliza nyota yako.
Watalaamu wanadai kuwa kwenye nyota yetu kuna zaidi ya sayari 10 tunazo soma darasani.ila kulingana na quantum mathematic compyuta kuweza kukukotoa kupata majira mda wakati ugunduzi unazidi kuwa mkubwa.

Aina za mbingu saba
1)modern universe
Hii kama nilivosema kuwa hapa ndipo tunakuwa na nyota ambayo hiyo nyota hipo kwenye mkusanyiko wa nyota (galaxies) kama mafungu ya mchele.
View attachment 1558094

2)first galaxies
Hii sasa tuna ita kama kutoka kwenye makundi ya nyota tuseme (mikoa ya nyota) kwenye nchi ya mikoa ya nyota.
Hapa ni kutoka kwenda galaxie moja kwenda moja ikiwa kwenye kundi moja yani (nchi ya mikoa yote mfano tanzania na mikoa yake jumla)

View attachment 1558146

3)parting company
Hapa tuseme kama tunavo kuwa duniani tukiona anga na mawingu yake.simaanishi hivo ni jinsi mfano kama tabaka la anga la nyota .
View attachment 1558155
Hapa sina elemu nako sana ndio maana hata mada zake hakuna anaye ongelea

4)big freeze out
Hii ni sehemu tabaka la anga kutaka namba 3 kinazalia kama sehemu yenye joto.lilo kufa na hakuna chanzo chochote kitakacho sababisha labda mlipuko,joto,chanya hewa,gesi uchanganyaji kama kumeganda au hakuna jipya
View attachment 1558162

5)quark soup
Ni anga kwenye mbingu ya tano yenye asili kuwa na asili ki miminika au tuseme kama layer za ukungu wenye karatasi asili ya ukuta kama mfano wa kioo ufananishwa na yai.ila ni mada hakuna aliyefika huko
View attachment 1558169

6)inflation
Hii ndio tabaka la mwisho likuwa kama tufe ndio mbebaji wa kilichomo tokea mbingu 1-5
View attachment 1558182
Inflation ndio hii
View attachment 1558180
Hapa ndio iliopo.

7) bing bang
Kiufupi ndio tuseme kama nyota mama inayo kuwa moja yani mbingu saba tu seme ndio nyota moja
Kutoka (wilaya>mkoa>kanda>nchi>bara>dunia)
Hapa nimetoa elimu rahisi kama kufikiria tu.
View attachment 1558187

Hapa nimekamilisha mbingu saba.
Je nje ya mbingu saba ni nini nje ya bing bang ??
Ni multi universe
Hapa wanataalamu wanazidi kutu fafanuliwa kuna nje ya mbingu saba na hii mbingu saba inaonekana kama hipo kwenye mkusanyiko wa mfano wafungu ya nyanya
View attachment 1558190

Na ndani kwenye multi universe kuna njee ya hii ili nayo uonekana
View attachment 1558195View attachment 1558193View attachment 1558194

Itaendelea
Ngoja nikae ntarudi
 
Back
Top Bottom