Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Habari ndugu wana Jamii Intelligence, Katika kupitia pitia vitabu vyangu siku ya jana, nikapitia kitabu cha mwanafalsafa mmoja aitwae "Walt Whitman Rostow" (Rostow's Stages Of Economic Growth...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
SALUTE COMRADES Hii mijengo hapa chini ni mijengo iliyojengwa miaka mingi zaidi kabla ya Kristo, enzi hizo teknolojia ya usafiri ilikua chini! Swali ni je, nani aliyezunguka bara moja kwenda...
20 Reactions
211 Replies
43K Views
Mtu kwenda shule ni kitu kizuri na mtu kupata elimu ni kitu kizuri zaidi ili mtu upate elimu siyo lazima uende shule. NAOMBA TUSIKILIZANE VIZURI nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo baba aliniambia...
7 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari za kutwa wana Jf, yawezekana wewe Kama watu wengine wengi umekuwa ukitazama Hollywood movies za agents mbalimbali wa CIA, na ulivutiwa na uwezo wao wa kufikiri kutenda na ku "imagine"...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Watu wengi kwa kutokujua wamekuwa wakiamini kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa India, Indira Gandhi alikuwa mtoto wa Baba wa Taifa la India Mahtma Gandhi. Indira hakuwa mtoto wa Gandhi bali...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Usije sema labda inaweza kua pyramid mimi sizani Mimi hata siamini kua hii inaweza kua ghali sana! Wengi mnaweza sema pyramid ilikua ghali sini kweli? Labda kwa kuangalia nikwa kiasi gani...
24 Reactions
49 Replies
11K Views
Is Tanzania's intelligence apparatus sophisticated enough to have been using modern wiretapping (apart from bugging telephone lines at the Exchanges)? If they use some form of wiretapping, do...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wanasayansi wamegundua sayari ambayo inakaribia sana Dunia kwa mazingira na ukubwa wake na ambayo inazunguka nyota ijulikanayo kama Proxima Centauri, iliyo na mfumo unaokaribia zaidi mfumo wetu wa...
9 Reactions
113 Replies
21K Views
Habari wanajukwaa? Naona kichwa cha habari kitakuwa kimekuvutia na wewe pia. Hata mimi natamani kufahamu ukweli uliojificha juu ya viumbe hivi kutoka sayari nyingine. Nilishapataga kusikia sana...
2 Reactions
72 Replies
14K Views
Biblia inatuambia hii ndiyo ishara ya mwisho wa ulimwengu. Watu kujali pesa na kujipenda wenyewe. Yataibuka Magonjwa ya kuenea Njaa, Vita baina ya mataifa pamoja uhalifu kushamiri watu...
7 Reactions
136 Replies
13K Views
PESA NI NINI: Pesa inatambulika kama nyenzo ya kukuwezwesha kupata kitu au huduma, lakini kwa watu wengine huchukuliwa katika tafsiri tofauti, Kwa wengine pesa kwao huwa ni ulinzi na furaha na...
1 Reactions
26 Replies
42K Views
1.JOHN F KENNEDY (JFK) Alikuwa raisi wa 35 wa marekani aliuwa November 22 mwaka 1963 akiwa raisi wa nne kuuawa kwa kupigwa risasi katika historia ya marekani. Akiwa na mkewe, kwenye gari la wazi...
35 Reactions
157 Replies
28K Views
Guys tusaidiane kidogo hapa Mwanzo 2:23 Hivi walivyozungumzia tunda walimaanisha tunda kweli? Na huu mti wa uzima ni nini?? Karibuni
0 Reactions
20 Replies
9K Views
KWANINI AFRICA NI BARA MASIKINI? Heshima yenu wakubwa na wadogo. Bara la Afrika ni bara la pili kwa ukubwa baada ya Asia, ni bara lenye kila aina ya utajiri na rasilimali za kutosha. La...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Amani iwe nanyi! ... Ivi kuna Mahusiano gani kati ya nyota na matendo ya wanadamu? ... Kilichonifanya niulize hilo swali niki apa chini: Kipindi niko mdogo (miaka 12) nilipenda kusikiliza...
8 Reactions
110 Replies
43K Views
Habari za kazi wakuu!?? Ni matumaini yangu yu wazima wa afya kabisa na ninaomba nitoe pole kwa ndugu zetu waaliopo hosipitali kwa muda huu, Naomba turudi kwenye swali hapo juu...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Salute comrades, Wakuu, naomba kufahamishwa, Mbinguni anapoishi Mungu ni wapi? Ukisoma Biblia, Katekisimu etc zinasema Mungu yupo Mbinguni na mahali pote duniani. Je Mbinguni ni wapi? Ni kule...
16 Reactions
185 Replies
34K Views
Wakubwa zangu kumekuwa na mijadala miwili kinzani kuhusu umbo la dunia yetu nzuri. Wapo ambao wamethibitisha kwamba dunia ni ya mviringo kama tulivyosoma mashuleni na sababu za kutuambia hivyo...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
VIETNAM WAR UNSUNG HEROES: Kutana na Komando wa Marekani aliyenusurika kuzikwa akiwa hai. Alimtemea daktari mate usoni akiwa ndani ya begi la kubebea maiti. Roy Benavidez pia anajulikana kwa...
21 Reactions
63 Replies
12K Views
Vitazame vitu vyote: hai na visivyo hai, muundo wao na jinsi yao ni ya kustajabia. Ni kwa namna gani vitu hivi vimepangwa katika mpangilio huo, ni jambo pia la kustajabia. Hakuna kitu kilicho...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom