WAKUONDOKA
Member
- Oct 8, 2014
- 46
- 24
Nimekuwa nikipata mgongano hasa ktk kuelewa ukweli kuhusu Afrika na Muafrika mwenyewe.Katika usomaji wangu wa machapisho mbalimbali na majarida Afrika inaonekana ni sehemu anapopatikana mwanadamu bora kbsa kimazingira ya jiogarafia na sayansi.
1.Afrika ndipo sehemu wanapopata jua la utosi kwa maana hata mimea na mazao vinapata virutubisho vya kutosha kwa mlaji kuliko sehemu zingine za Dunia.
2.Binadamu wa Afrika anapata hali zote za hewa kwa vipindi kwa maana joto,baridi na hata mwili wa Afika unapata makuzi bora ktk hali iyo.
3.Uoto wa asili wa mazingira ya Afrika ni bora hauhitaji vitu visivyo asili "artificial" ili mtu Aishi vyema.
4.Afrika ina maliasili na utajiri wa kutosha kwa watu wake kupata ustawi wa kuishi.
Ila nilipata mshtuko kidogo baada ya kusikia taarifa moja ktk VOA kuwa Afrika ndo inaongoza kwa watu wake kuwa na IQ ndogo yani uwezo wa kufikiri kwa Mwafrika ni mdogo ukilinganisha na Mabara mengine.
Nawasilisha nataka nipate mchango wa mawazo ktk andishi hilo ili nijazie Afya zaidi ya fikra zangu.