Kwanini Matumizi ya Fission kutengeneza radioisotopes nyingi !

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Historia
Mnamo mwaka 1938, mwanafizikia wa Kiitaliano Enrico Fermi na washirika waligundua fission ya nyuklia. Waligundua kuwa fission inapofanyika kipindi wakati kiini cha atomiki cha urani-235 kinapigwa na nyutroni, hugawanyika katika viini viwili vya umati sawa sawa.
IMG_3075.jpg


Kitu chengine pale inapogawinyika utoa Vyanzo vingine kwa jina radiografia isiyo ya kawaida ambayo uzaa Rubidium,strontium,xenon,bromine,lanthanum na cesium-137 (Cs-137) ambayo ni mependekeza kwanza, lakini hizi zote nilizotaja hutengenezwa kwa njia tofauti kabisa inayojulikana kama fission.
Fisiion inaweza kutenganisha nyuklia na kumefafanua kuwa ina weza kugawanyisha kiini cha atomiki ndani ya viini viwili vidogo vyenye uzito sawa, unaojulikana katikati. Sehemu za mass number 90 na yenye idadi ya atomiki kubwa zaidi ya vinaweza kugawanyika. Kama matokeo ya fission, ya naweza kuzalisha nishati , kuzalisha neutroni kwa utengenezaji wa radioisotopes, na kutoa bidhaa kama mchoro nilizozitaja hapo juu kupitia fission. Katika uranium kwenye atomi inaonesha kuwa kiini kisicho na utulivu.

Wakati mmenyuko wa urani-235, kiini hupigwa na nyutroni, ambayo husababisha vipande vya utengamano wa kiini cha bariamu-141, na kiini cha krypton-92. Kwa kuongezea, nyutroni tatu hutolewa (nyutroni ya awali ya risasi, na nyutroni mbili kutoka kwa kiini cha U-235) pamoja na nguvu.
IMG_3077.jpg

Nitaendelea maana ni kazi sana
Njoo tujadili
Wanazengo
 

Lord Mkemia

Member
Dec 1, 2019
76
125
Kweli sayansi ya level ya A-level na O-level mambo yangekuwa ni hivi (yanatufika shingoni). By the way brother you are coming slowly like a tortoise (Easy bro 😹😹😹)
 

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Fission
Utafiti mzuri kwenye
Tujue kwamba nutron ambayo ni sehemu inaleta mpasuko kwenye mchakato ndani ya atomu ambapo kiini cha atomu kuweza kugawinya kuwa vipande vidogo zaidi hata kuzalisha vengine
Mfano organic kemia,uranium kwa sababu atomic zake si tulivu kwa mabadiliko.kama ni kitendo kinapelekea hivi basi Mchakato huo unaachisha nishati nyingi ukitumiwa katika nguvu za nyuklia na pia katika mlipuko wa silaha ya nyuklia.kusabisha mutation
IMG_3084.jpg

Tunaendelea wanazengo
 

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Nutron kwa nini kutengenisha atomi
IMG_3085.jpg

IMG_3086.jpg

Bado tuna tafakari kuwa nutroni imeweza kuzaa isotop ambazo kama azipo tulivu kuzalisha bizaa ndani ya kemia kwenye chanzo chochote ndani ya mpasuko
 

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,290
2,000
Kama neutron itakuwa sababu ya mipasuko basi itakuwa inaleta bizaa na nishati ya mutation.kwa nini itazalisha wimbi la mipasuko isiyo kwenye atomic
IMG_3082.jpg


Ambayo itazalisha redio nyingi za nutron kwa kuwa zina zidi kugawanyika na kuzaa bizaa nyingi ili kupelekea mabadiliko ya kikemia mfano kama uranium kwenye matumizi ya nishati au sialahaa kusabisha vinasba
IMG_3087.png

Kwa sababu nguvu kubwa kama nilizotaja hapo zinakuwa zaidi ya bizaa sio na mpangilio wa kikemia


IMG_3088.jpg


Tunaendelea
Wanazengo
Tujadili
 

Attachments

  • IMG_3082.jpg
    File size
    63.2 KB
    Views
    0

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608
2,000
Aliyegundua nuclear fission siyo Fermi ni Otto Hahn na Meitner, Otto Hahn ndiye aliye-split Uranium kwa mara ya kwanza kwa kutumia neutron particles, ...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom