Baada ya miaka 800 sayari ya jupiter na saturn kukutana

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,373
Ni vingi ndani ya anga kutushangaza lakini sayari hizi mbili imepita miaka 800 tokea kukutana.
Sayari hizo mbili zitakutana kwenye upande wa capricornus
IMG_2834.jpg

Tukio hilo tarehe 31 -12 -2020
IMG_2833.png

Tokea mfaransa wa anga kwa jina Charles Messier kugundua.

Wanazengo tujadili
Kutakuwa na nini baada ya kukutaka au kipishana
 
Attachments

  • IMG_2835.png
    IMG_2835.png
    1.6 MB · Views: 5
Kujadili kitu ambacho hautakuwepo ni upotezaji wa muda na rasilimali akili.

Zikutane tu zioneshane makali.

Omba mungu 31-12-2020 sijui ulisoma miaka 800
 
"Zitakutana" unataka kumaanisha nini? Zitagongana?

Jua na mwezi zinapo kutana kuna kitu gani unakiona au mabadiliko gani.ni tukio tu ambalo limetukuta tokea miaka 800 iliyopita na sasa tunaweza kuweka historia kuwa kwenye uhai wetu tutashudia usiku
 
Jua na mwezi havijawahi kukutana.
 
Ni vingi ndani ya anga kutushangaza lakini sayari hizi mbili imepita miaka 800 tokea kukutana.
Sayari hizo mbili zitakutana kwenye upande wa capricornus
View attachment 1647210

Tukio hilo tarehe 31 -12 -2020
View attachment 1647211

Tokea mfaransa wa anga kwa jina Charles Messier kugundua.

Wanazengo tujadili
Kutakuwa na nini baada ya kukutaka au kipishana
Wanasayansi wanatakiwa wakue kiakili na kimaarifa sasa.

Haya mambo ambayo hawawezi kuyathibitisha waachane nayo.
 
Nikweli terehe 21 mwezi huyu hiz sayari zitakutana na kitengeneza kitu kama nyota hii hutokea kila baada ya miaka mianane
 
Acha zikutane tu zioneshane makali, kwanza miaka 800 iliyopita sikuwepo
 
Back
Top Bottom