Bill shaka mko poa! mkijiandaa kuuaga mwaka na kuingia mwaka 2021.
Niende moja kwa moja ktk hiki ambacho anata kujua kutoka kwenu!
Kumegunduliwa virusi vipya vya covid 19 huko Uingereza, na virusi hivi. Vinaenea kwa kasi kwa mjibu wa bbc leo tar 21/12/ 2020 na havizibitiki!!
Na tarari nchi nyingi zimesha kata mawasiliano na Uingereza!! Mfano nchi nyingi za umoja wa ulaya. Kama ujerumani, ufaransa nk. Je hi sio Vita ya kiuchumi ili kuizofisha Uingereza kiuchumi ili isijitoe kwenye umoja wa ulaya??
Niliwahi kusoma bandiko la Abibu hapa jukwani. naukisoma vizuri, unangudua kabisa! Kuwa covid 19 ni virusi waliotengenezwa maabara, na inaweza walishindwa kuzibitiwa na wahusika, au waliwaachia kwa makusudi!! Sasa Uingereza kukumbwa na aina mpya ya covid 19 sio vita ya kiuchumi ili asijitoe kwenye umoja wa ulaya??
Karibuni wajuvi wa Mambo!!
Yaah,
In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way.
Huwenda ikawa na ukweli ndani yake hususani katika kuyakabili mataifa makuu mawili china na UK
Kama tilivyo hona China yenyewe ina tatua matatizo yake kwa ufasaa na umakini zaid yaani smart. Ndio maana hata kwenye hili la corona hawakutaka msaada wa mataifa mengine na wala hawakutaka mambo yao yajulikane lakini sio kwamba hawakuathirika na wala hawajatetereka kiuchumi kuna some how wametetereka.
Taifa la China linawatu wengi duniani na mfumo wa china wana birh control ambapo anae zaliwa na yule aliyopo hai tiali yupo kwenye bajeti ya nchi na ninsehemu ya hazina ya taifa na pia taifa linamtegemea katika ujenzi wake ndio maana duniani kote huwezi mkuta mchina kaka looser, hapana wachina ni mission maker katika taifa lao
Sasa kwenye hili la corona ilikuwa ni moja ya shambilio katika kumtikisa uchumi wa China
Upande wa uingereza huyu ndio mhasisi wa EU kutokana na ushawishi wake kisiasa na kiuchumi tangia karine 16
Kwa upande mwingine Brexist yaweza kuathiri mipango ya mfumo furani ambao tangia karine ya 16 wanaandaa mpango mpya wa dunia yaani NEW WORLD ORDER
Na ukiangalia watu hawa tokea nyuma ndio team maker wa kuanzisha organizations mbali mbali dunian ili siku mipango yao ikikamilika iwe vyepesi kuitawala Dunia
Leo hii tawala zao zimejificha nyuma ya hizi organizations pamoja na Dini.
Sasa huwenda UK kujiondoa kwenye EU ikawa njia moja wapo ya hawa WATU kuidhoofisha kiuchumi ili isiweze kujitoa
Ikumbukwe tu kuwa uundaji wa hizi organizations EU na UN ziligalimu huai wa watu
Mfano ni USA, Taifa la Marekani kuingia katika UN iligalimu vita ya Dunia kama ifuatavyo
Baada ya Vita vya Kwanza ya Dunia, jaribio lilifanywa la kuanzisha serikali ya ulimwengu mmoja(LEAGUE OF NATIONS) na Jumuiya ya Mataifa ikaanzishwa. Seneta Henry Cabot Lodge Sr alizuia Merika kujiunga na Ligi ya Mataifa. Njama ya Wajesuiti ya kuunda baraza moja linalosimamia ulimwengu ambalo wangeweza kudhibiti ulimwengu, ilisitishwa kwa muda tu. Sehemu hii ya mpango wa Wajesuiti ililazimika kungojea miaka mingine 27 kwa utendaji uliorudiwa, wakati Vita vya Kidunia vya pili vitasababisha Umoja wa Mataifa.
Hivyo adhima kubwa ya vita ya kwanza ya Dunia ulikuwa ni mkakati wa siri wa kuanzisha LEAGUE OF NATIONS ikiwa lengo kubwa ni kumnasa Marekani kwa wakati huo.
Lakini kama tulivyo hona huu mpango ulibuma baada ya marekani kutokubali kujiunga hivyo hii mission ilifeli ndio maana wakaanza namna ya kuchochea na kuanzisha vita ya pili ya Dunia lakini nyuma ya pazia ikiwa kuendelea kudhoofisha uchumi wa mataifa mbali mbali na kwa upande wa America wajesuit walifanikisha kuanzisha FEDEL RESERVES BANK ambayo ilitoa mwanya wa kufadhili mashirika nyeti na makampuni makubwa ya US ambapo fedha hizo ndio zikawa sehemu ya kufadhili mataifa mbali mbali ya ulaya kipindi cha vita ya pili dunia na baada ya vita.
Mwishowe US ikanogewa na akawa mshirika mkuu na muasisi wa UN mwaka 1945 hivyo lengo lao la kuimiliki America na dunia kupitia UN likatimia kwasasa tuko safarini kuelekea ulimwengu mwingine kabisa unaitwa NEW WORLD ORDER.
Hivyo kiini cha mada yako kuhusu Corona na UK huwenda ikawa kweli, kwani hawa WATU wa mfumo fulani wanaimiliki ulaya (EU) kwa kutumia UK na wanamiliki Dunia kwa sehemu kwa kutumia UN huku wakiwa nyuma ya US. Kitendo cha UK kutaka kujiondoa EU ni razima waikabili kimkakati
Hivyo naunga hoja.