Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,374
Ni vigumu sana kuelewa na wakati mgumu kutafuta,labda usubiri maoni au uzi tu.
Tuachane na hayo
Dunia ina kila ya kilichomo kama makusanyiko yaliyo ndani hapa.
Kueleza kwa mambo kama haya ni changamoto sana
Kwa nini ?
Dunia wanasayansi wanasema kuwa ilitengenezwa na takataka zilizopo angani wakati jua miaka bilioni 4.6 kuanza kujitengeneza na mipasuko ya hali ya kijografia huko kwenye hanga.
Labda tuseme mabadiliko ya nyota .
Inasemekana dunia ilikuwa ni mkusanyiko wa uchafu
Naona mnaweza kujadili na jf yenu