Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza

Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
248
Likes
329
Points
80
Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
248 329 80
Dunia imejawa na kila aina ya mambo. Usimuone mtu ni tajiri au maarufu ukatamani utajiri wake au umaarufu wake pasipo kujua anapitia nini au alifanya nini mpaka kufikia hapo alipo.

Simaanishi kila mtu maarufu au tajiri umuonae ametumia nguvu za giza, no. Chukua mda wako uzijue njia tatu za kuwa tajiri kwa kutumia nguvu za giza.

1. KUMZIKA NG'OMBE AKIWA HAI

Amri hii ya kumzika ng'ombe akiwa hai inatolewa baada ya kufanya procedures kadhaa ya kishirikina na zenye gharama kubwa.

Zoezi hili linahusisha kununua ng'ombe aliyenona na kumtoa kafara kwa kumzika akiwa hai katikakati ya kichaka au msituni wakati wa usiku.

Kadri ng'ombe yule anavyooza na kutoa mabuu na funza, ndivyo jinsi pesa na umaarufu unavyoongezeka au kama ni biashara inazidi kupanuka. Unapoona pesa zinaanza kupungua, au biashara na umaarufu vinapungua, unarudia zoezi hili tena tena. Wanaotumia njia hii sio rahisi kukaukiwa na hela, vigezo na masharti kuzingatiwa.

2. OGBONI ABORIGINE

Hii ni fraternity au brotherhood au chama ambacho kilianza katika kabila la Yoruba nchini Nigeria. Wanaojiunga na chama hiki huwa hawafanyi kazi yoyote ya maana lakini wanakuwa na hela ya ajabu.

Pindi tu mtu akijiunga na chama hiki, pesa inaongezeka maradufu unakuwa na IQ kubwa kuliko alivyokuwa. Ogboni Aborigine ni chama chenye masharti magumu sana.

Unapojiunga nao, siku ya initiation, kunakuwa na wanachama sita wale waliokomaa, mida ya saa sita usiku, wanakufunga kitambaa cheusi machoni, kisha wanakupa sahani yenye vipande vya nyama mbichi na wanakuamuru ule kipande kimoja.

Kipande hiki ndio kitakuwa kinakuLink moja kwa moja na wao. Siku unapofariki, kabla ya kuzikwa, kile kipande cha nyama ulichokimeza awali kinarudi kwenye sahani yao kwa nguvu za giza. Chama hiki kina siri nyingi sana na za kutisha.

3. BLACK MAGIC WEALTH RITUAL

Wanaojiunga na chama hiki wanakaribishwa na wanachama waliowatangulia. Zoezi la kujiunga lina procedures nyingi.

Kwa mfano ikiwa we ni mwanchama mpya, wanachama wote wanakukaribisha na wanakuombea kwa Beelzebub (Mwakilishi wa shetani duniani) akubariki na mali na umaarufu.

Kisha wakimaliza kukuombea kwa Beelzebub, unaweka ahadi ya kafara ya kitu au mtu unayempenda. Ikiwa ni mtoto wako, mke wako, mama yako, ndugu yako, kizazi chako n.k. Ukishaweka ahadi hiyo ya kafara na kukubaliana, wanatwaa kafara yao na baada ya mwezi mmoja kila utakachofanya utaona unafanikiwa.

Chama hiki kinatoa utajiri wake kupitia biashara. Hivyo basi ikiwa hauna biashara, watakupa mtaji na utashauriwa ufungue biashara ya aina yoyote ile ambayo roho yako inapenda.

Kwa mfano ukiamua kufungua biashara ya Supermarket, kwa muda mfupi utashangaa na ukuaji na mafanikio ya biashara hiyo. Ikumbukwe kuwa baada ya kila muda mlioafikiana na chama, kafara inahitajika ili uzidi kuwa juu kimafanikio.

Source: WEALTH SPELLS
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
32,930
Likes
20,380
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
32,930 20,380 280
Mbwembwe zote hizo lkn mwisho wa Siku una kufa tu.....
Mfano nlikuwa Naongea na jamaa yngu mmoja anafanya kazi kwenye hotel moja maarufu arusha mmiliki wake hvi Karibuni alifariki na kuzikwa!inasemekana alikuwa mtoa kafara sana lkn ukiangalia leo hii yeye Yuko wapi ashazikwaa

Ova
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,434
Likes
7,609
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,434 7,609 280
akili za kipuuzi kuwaza mali za namna hii

kwa ushahidi nna mfahamu jamaa alikosana na nduguze akatakiwa aombe msamaha la sivyo ukoo utamtenga jamaa akakaidi

basi akatengwa, ikambidi kujitutumua ili apate mali si akaenda kwa sangoma duuu! kapewa sijui kafara gani zilianza kuku kufa na vichwa kutoonekana wala damu, zikafata njiwa

familia ikashtuka kwenda kwa fundi wanaoneshwa bwana mdg ndo muhusika

yupo mpaka sasa anahangaika wala hana chochote cha maana.....izi mali ni upuuzi tu
 
K

kaye said

Member
Joined
Jul 2, 2017
Messages
88
Likes
27
Points
25
K

kaye said

Member
Joined Jul 2, 2017
88 27 25
Dunia imejawa na kila aina ya mambo. Usimuone mtu ni tajiri au maarufu ukatamani utajiri wake au umaarufu wake pasipo kujua anapitia nini au alifanya nini mpaka kufikia hapo alipo.

Simaanishi kila mtu maarufu au tajiri umuonae ametumia nguvu za giza, no. Chukua mda wako uzijue njia tatu za kuwa tajiri kwa kutumia nguvu za giza.

1. KUMZIKA NG'OMBE AKIWA HAI

Amri hii ya kumzika ng'ombe akiwa hai inatolewa baada ya kufanya procedures kadhaa ya kishirikina na zenye gharama kubwa.

Zoezi hili linahusisha kununua ng'ombe aliyenona na kumtoa kafara kwa kumzika akiwa hai katikakati ya kichaka au msituni wakati wa usiku.

Kadri ng'ombe yule anavyooza na kutoa mabuu na funza, ndivyo jinsi pesa na umaarufu unavyoongezeka au kama ni biashara inazidi kupanuka. Unapoona pesa zinaanza kupungua, au biashara na umaarufu vinapungua, unarudia zoezi hili tena tena. Wanaotumia njia hii sio rahisi kukaukiwa na hela, vigezo na masharti kuzingatiwa.

2. OGBONI ABORIGINE

Hii ni fraternity au brotherhood au chama ambacho kilianza katika kabila la Yoruba nchini Nigeria. Wanaojiunga na chama hiki huwa hawafanyi kazi yoyote ya maana lakini wanakuwa na hela ya ajabu.

Pindi tu mtu akijiunga na chama hiki, pesa inaongezeka maradufu unakuwa na IQ kubwa kuliko alivyokuwa. Ogboni Aborigine ni chama chenye masharti magumu sana.

Unapojiunga nao, siku ya initiation, kunakuwa na wanachama sita wale waliokomaa, mida ya saa sita usiku, wanakufunga kitambaa cheusi machoni, kisha wanakupa sahani yenye vipande vya nyama mbichi na wanakuamuru ule kipande kimoja.

Kipande hiki ndio kitakuwa kinakuLink moja kwa moja na wao. Siku unapofariki, kabla ya kuzikwa, kile kipande cha nyama ulichokimeza awali kinarudi kwenye sahani yao kwa nguvu za giza. Chama hiki kina siri nyingi sana na za kutisha.

3. BLACK MAGIC WEALTH RITUAL

Wanaojiunga na chama hiki wanakaribishwa na wanachama waliowatangulia. Zoezi la kujiunga lina procedures nyingi.

Kwa mfano ikiwa we ni mwanchama mpya, wanachama wote wanakukaribisha na wanakuombea kwa Beelzebub (Mwakilishi wa shetani duniani) akubariki na mali na umaarufu.

Kisha wakimaliza kukuombea kwa Beelzebub, unaweka ahadi ya kafara ya kitu au mtu unayempenda. Ikiwa ni mtoto wako, mke wako, mama yako, ndugu yako, kizazi chako n.k. Ukishaweka ahadi hiyo ya kafara na kukubaliana, wanatwaa kafara yao na baada ya mwezi mmoja kila utakachofanya utaona unafanikiwa.

Chama hiki kinatoa utajiri wake kupitia biashara. Hivyo basi ikiwa hauna biashara, watakupa mtaji na utashauriwa ufungue biashara ya aina yoyote ile ambayo roho yako inapenda.

Kwa mfano ukiamua kufungua biashara ya Supermarket, kwa muda mfupi utashangaa na ukuaji na mafanikio ya biashara hiyo. Ikumbukwe kuwa baada ya kila muda mlioafikiana na chama, kafara inahitajika ili uzidi kuwa juu kimafanikio.
Asante kwa ku2juza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,095
Members 481,224
Posts 29,720,580