chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Sisi wanadamu tuna siri kubwa sana.
Kuna mada zinaweza kuleta mdaalo sana. Kwanini
Binadamu nje ya sayansi kama kuweza uchawi basi ujue sauti ya mungu kaweza kuchunguza sana na kujua sana.
Siyo kisayansi tu
Kama sauti ya mungu imeweza kutofautisha leo mwanzo,mwanga,rangi,sauti,tv na n.k basi ni kutaka kujua
Ni sababu kubwa kuwa wanadamu tuna kipi mpaka kujua mbingu ya saba.
Imetokana na sauti na wanasayansi kusema nilitoa post hapa.
Sauti ufananishwa umeme kiufupi kwa vile si rahisi kufika kufika kama mwanga,maana mwanga ukipita unapita.
Na mada hii niliongea kuhusu ukitembea spidi ya mwanga unaweza kushinda umri.
Napenda mjadili kuna wana wajua uzi wapo hapo.