Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu. . Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima...
18 Reactions
650 Replies
36K Views
Amani iwe nanyi. Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa...
41 Reactions
171 Replies
11K Views
Tafadhali ongozana nami kwenye tafakuri hii. Kwa nini katika miili ya viumbe hai kuna kuna ute ute ambao huwa katika formula ya kunata, kuvutika au kuteleza iwe ni mate, shahawa, kamasi, jasho...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
OPERESHENI BARRACUDA ILIVYOMUUA LUMUMBA - 01 Alhamisi ya Juni 30, 1960, Congo ilijipatia uhuru kutoka kwa Ubelgiji. Waziri Mkuu Patrice Emery Lumumba akiwa na miaka 35, akawa kiongozi wa jamhuri...
17 Reactions
50 Replies
13K Views
Nimepitia sehemu mbalimbali kuhusu Madiba(Mandela) baada ya kutoka gerezani wanadai kuwa mandela halisi Alisha kufa gerezani aliyetoka Ni GIBson Makanda na sio Mandela ila walimfanyia kitu...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
UKWELI KUHUSU MAISHA YA MBELE YA BINADAMU. Na: @justtalker Binadamu tunaishi leo, lakini kila mwaka ulioko mbele ambao utauishi, tayari una maisha yake, yaani upo kila mwaka wa mbele ambao...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Kupitia picha hizi hapa chini, nimejiuliza mara mbili tatu je, ni wapi makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki kama picha zinavyojieleza?
1 Reactions
24 Replies
5K Views
UTANGULIZI Toka kilipoandikwa mwishoni mwa karne ya 6KWK, sanaa ya vita ni moja ya vitabu vya kale na maarufu sana kuhusu mbinu za kivita. Kitabu hiki kiliandikwa na Sun Tzu, huyu alikuwa alikuwa...
8 Reactions
35 Replies
8K Views
Vipande vya ngozi vilikuwa na maandiko kutoka kitabu cha nane na cha mwisho cha kitabu cha Waebrania Mabaki ya machapisho ya Biblia ya kale imepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa "uvumbuzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini vitu vinadondoka? Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu. Ukiacha...
6 Reactions
136 Replies
14K Views
Maisha yote ya mtu hayatenganishwi na yanategemea imani. Kwa maneno mengine, maisha ni imani. Ye yote anayeishi duniani maisha yake ni imani yake. Hatahivyo, swali ni kwamba imani ni nini? Imani...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kabla ya kuwapo UKIMWI magonjwa yaliokua yanasumbua ni Degedege Pepopunda na mengine ambayo hivi sasa yote yana Chanjo kama Polio. Ukimwi ulivyoingia miaka ya 80 ndio ulikua ugonjwa tishio na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jf wote ninawasalimu. Moja kwa moja kwenye mada, siku za hivi karibuni baada ya kuzuka kwa tetesi zilizohusisha afya ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JPM na HABARI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Helo guys wazima nyie? Kuna maswali na hoja tofauti nimekua nakutana nazo kuhusiana na watu wanaotumia mkono wa kushoto (Left handed peoples). Baadhi ya hoja na maswali hayo ni:- Kwanini mtu...
7 Reactions
96 Replies
20K Views
Human Cloning ni nini..? -Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na...
50 Reactions
582 Replies
105K Views
Thread imefutika 😂🤗
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana...
7 Reactions
93 Replies
15K Views
Salute Comrades.. NB:Maelezo yangu hapa chini yanajaribu kuakisi ni wapi hasa bustani ya edeni ilikuwepo, lakini kutokana na vyanzo vya habari bado sijapata hasa ni wapi bustani hii ilikuwepo...
12 Reactions
183 Replies
60K Views
Hili ni jaribio lililofanyika mwaka 1907 Na Daktari mbobezi ndugu Duncun MacDougal. Daktari huyu alikuja na swali kwamba je!! Inawezekana nafsi (soul)ikawa na nzito flani unaopimika!!! Ili kuja...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu...
8 Reactions
351 Replies
50K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…