Escapism
There is no one answer to this but others try to define it as process of seeking distraction from reality by engaging in entertainment or fantasy.
instead of facing the difficulties head...
VITA YA OPIUM; KITU KIDOGO KILIVYOWEZA KUSABABISHA BALAA KWENYE TASNIA YA BIASHARA, JAMBO LINALO WAGHARIMU UCHINA MPAKA LEO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Sunday-21/02/2021
Himo, Kilimanjaro...
Inakuwaje wanajamvi!
Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani...
Wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha 'mwanzo' are logically consistent, Hi si kweli
Hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha...
Hakuna ujanja wowote, hakuna utumwa wowote, hakuna conspiracy yoyote katika chanjo ya COVID 19. Katika ulimwengu wa " globalization"/muingiliano wa watu kama wa kileo ambao ulianza karne ya 19...
AN OPEN LETTER TO HIS EXCELLENCY, PRESIDENT JOHN P. MAGULFULI, TANZANIA
Dear Mr. President
We all, in Tanzania, thought that our Nation received a blessing when Kelvin Dushnisky, the Chairman of...
Wachawi sio watu wa kuwachekea hata kidogo Unapoipata dawa yake wakomeshe kisawa sawa kama wao wanavyotukomeshaga sisi.
JINSI INAVYOKUWA...
Wachawi wanapomuua mtu huwa wanakuwaga na kahofu...
Wapendwa habarini za majukumu? Pia kwa ndugu zetu waislamu nipende kuwatakia maadhimisho mema ya Eid Mubarak.
Napenda nifahamishwe kwa wale wenye ufahamu kuhusu historia ya Yoseph mfanyakazi ama...
Tunapozungumzia usalama wa taifa, maana yake ni kwamba tunazumgumzia roho ya nchi.
Ukiona taifa lolote lina watu maskini, wajinga, wasiojitambua, ujue kwamba hata intelligence ya nchi pia...
IKULU YA KWANZA YA KONGO.
Na.Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Sunday-4/07/2021
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania
Picha hizo zinaonesha ikulu ya kwanza ya Kongo DRC, ikulu hiyo inaitwa "Palais de la...
Mada hii imejikita ktk kushauri kizalendo nini kifanyike ili kuliokoa taifa lisizidi kutopea kwenye umasikini wa kutupwa unaolikabili taifa kwa sasa.
Idara ya usalama ina wataalamu wa nyanja zote...
Idara ya usalama wa taifa, ndo idara nyeti, nzito na muhimu kuliko idara zote za serikali.
Kwa hiyo panatakiwa pawe na wafanyakazi ma genius hasa ktk idara hiyo, na wasiwe na mapenzi ya chama...
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.
TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe...
Ukitaka kufanikiwa kimaisha, jifunze kwa watu waliofanikiwa, jenga urafiki na watu wenye mafanikio, jipendekeze kwao, jifanye mjinga siku ipite, kumbe lengo lako kuna kitu unachokitafuta...
Asante sana mkuu Kihava ktk comment yako post #87, umenikumbusha mbali sana.
Kabla sijaendelea nainukuu post yako Kama ilivyo kwa faida ya wengine ili wajue nini maana ya usalama wa taifa na una...
Hatimaye yametimia, Part -1 ya mada hii nilizungumzia jinsi idara hii ya Usalama ilivyojaza vijana wengi wa UVCCM wasio na weledi wowote na masuala ya Intelligence, bali wako hapo kuhakikisha eti...
Dini zote duniani zina nadharia na mafundisho tele kuhusu maisha baada ya kifo. Kila dini ninayoifahamu imelizingumzia suala la maisha ya baada ya safari ya uhai wa binadamu kufika mwisho kwa...
2 hours ago
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000.
Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000...
Poleni ndugu wananchi Tanzania kwa msiba
On point
Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio...
Kwa wengi Hushpuppi alionekana kuwa ni mfano halisi wa mtu aliyefanikiwa,mtafutaji aliyezikamata pesa za kutosha na kutokuzionea huruma katika kuzitumia, kwenye akaunti yake ya instagram yenye...