Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

'Composition' ya maziwa ya wanyama inategemeana na aina ya mnyama. Mungu aliweka composition tofauti kwa kila aina ya maziwa na mnyama husika ili maziwa yaweze kumwezesha kiumbe mdogo...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
wanajamvi habari kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu...
0 Reactions
18 Replies
41K Views
Wakuu, Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya korodani (pumbu) hasa nyakati za kukojoa na maumivu haya hutokea tu endapo nimekunywa maji mengi sana.. May be lita 2 au lita 2 na nusu mida ya asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam, jaman mm nina matatizo ya matiti yangu yananiuma sana nikikaribia zile siku zetu za kubleed,alaf ikianza tu bc yanaacha kama sio menyewe yalikua yanauma Wataalam em njoeni ni nini...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26. Kwa siku ya pili sasa nimekuwa niki experience kitu ambacho sijawahi kupata. Moyo umekuwa ukidunda mara moja kwa nguvu hadi kifua kucheza...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Electrophysiology Lab Market Electrophysiology Labs Cardiac catheter ablation is performed by an electrophysiologist (a specially trained cardiologist) in a specialized electrophysiology lab. It...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za kushinda! Mimi nina rafiki yangu ambae tunafahamiana tangu muda mrefu sana. Alikuwa ameolewa lakini bahati mbaya mume wake alitangulia mbele ya haki. Wakati mume wake anafariki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Faida 7 za Juisi ya Nyanya 1 . Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli 2 . Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C 3 . Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni...
4 Reactions
6 Replies
7K Views
Sumu mwilini na jinsi ya kuzitoa Uondoaji wa sumu mwilini hutegemeana na aina ya sumu yenyewe. 1. Sumu kutoka nje ya mwili: Njia ya kwanza ni matumizi ya Dawa za kuivunja nguvu ile sumu husika...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Mlioumwa na hao wadudu wakali wanaotambaa karibuni mtupe uzoefu wenu wa kitabibu mliopata au kwenye ujuzi basi tupeni na sisi ushauri wa dawa au tiba ya kutumia.
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Kwa experience ya case mbalimbali ambazo hufikishwa hospitali huku hali ikiwa mbaya kiasi au kushindwa kufikishwa kabisa basi ni dhahiri kwamba huduma ya kwanza ni muhimu sana. Huduma ya kwanza ...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
- Kula chakula kilichopikwa vizuri nyumbani - balanced diet, - Fanya mazoezi ya kiasi hasa ya kutembea na kukimbia, - Punguza kahawa au chai, - Lala kiasi ccha kutosha, - Tumia mafuta ya nazi na...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF doctor, Nimekuja kuomba ushauri nipo ndani ya ndoa mwaka wa nne nimekuwa nahangaikia kutafuta mtoto bila mafanikio. Mke wangu amewahi kushika mimba kama Mara tatu zote zinatoka...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Nimeshashikia mara nyingi kutoka kwa watu mbalimbali kuwa Wazungu wametutengenezea virusi vya Ukimwi ili vituue tupungue, sababu tumekuwa wengi mno, Swali hapa linalonipa utata ni hili, Je kama...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
wana jf naombeni mnisaidie nimekua nikiongezeka uzito kwa kasi sana tofauti na kipindi cha nyuma
0 Reactions
0 Replies
2K Views
How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients Jinsi ya kutengeneza Viagra ya kiasilia kutumia viungo viwili tu If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients...
4 Reactions
114 Replies
31K Views
Jamani huu ujauzito kila nikienda clinik unaonyesha kimo cha mimba na umri wa mimba haviendani. Yani kimo cha mimba ni kidogo mno.je nini vinaweza kuwa vyanzo vya tatizo na nini tiba ya ujauzito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A), COMPOUND MARROW POWDER : Supplements calcium and magnesium to relive osteoporosis symptoms such as joint pain and lumbago; : strengthens hematopoietic function. : Improves immunity;relieves...
0 Reactions
31 Replies
22K Views
Back
Top Bottom