Matiti kuuma

kijanamimi

JF-Expert Member
May 29, 2015
245
172
Asalaam,

jaman mm nina matatizo ya matiti yangu yananiuma sana nikikaribia zile siku zetu za kubleed,alaf ikianza tu bc yanaacha kama sio menyewe yalikua yanauma

Wataalam em njoeni ni nini kinasababisha hii hali najiuliza kila cku cpati jibu?
 
Je yamewahi kunyonywa?
 
Weka picha...
 
Ni mabadiliko ya homoni tu hayo wakati wa hedhi.Kivimbe cha titi ni dalili ya hatari zaidi kuliko maumivu ya matiti.
Jenga mazoea ya kujipapasa matiti yako kuona kama yana kivimbe kila ukimaliza hedhi na uwe unaenda kupimwa matiti na daktari walao mara moja kwa mwaka.
 
Wazaz mnasahau Wajibu wenu kwa watoto wa kike wakibalehe ona sasa anavyowaaibisha Huyu bint yenu...muwafundishe mabadiliko ya mwil wanapokomaa na kuwaelekeza nn cha kufanya
Atauliza mbona nnajiskia hamu ya mwanaume ?
Mtoto hiyo ni kawaida izoee hiyo hali tu mpaka utakapofika menopause
 
Tumia majani ya minyonyo kukanda wakt yaumapo. Ni pm nikupe maelezo vzr.

Ahsante.
 
umebalehe lin??? bila shaka we ni foreigner wa mambo hayo! hyo ni kawaida tu tena nzur coz inakupa angalizo kwamba unakarbia siku zako za kupata mp!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom