Faida 7 za Juisi ya Nyanya

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Faida 7 za Juisi ya Nyanya
1 . Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli

2 . Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C

3 . Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni uwezo wake katika kukusaidia kupunguza uzito uliozidi mwilini.

4 . Kama kuna juisi nzuri kwa mwili basi ni juisi ya nyanya, na ndiyo maana nyanya ni kiungo kwa karibu kila mboga jikoni.

5 . Juisi ya nyanya pia ina kiasi kingi cha Vitamini B6

6 . Juisi ya nyanya huondoa sumu kwa urahisi zaidi mwilini sababu ina kiasi cha kutosha cha klorine na sulfur

7 . Rangi nyekundu katika nyanya ni matokeo ya kimiminika mafuta kiitwacho ‘lycopene’ ambacho kazi yake kuu ni kuondoa sumu mwilini.
 
Zamani nilikuwa napendaga tu kula nyanya ( sio juice) ila baadae niliacha huo utaratibu. Itabidi nianze juice yake sasa.
 
Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia
 
Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia
Osha matunda na mboga zako kama ifuatavyo:
1. Kinga maji kwenye beseni
2. Tia chumvi kiasi
3. Loweka nyanya au matunda kwa dakika 10, then osha
4. acha yakauke
5. kata kula au tengeneza juisi
 
Lakini sitakua sawa na kachumbali tu. Au inaufundi zaidi ktk kuitengeneza?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom