Maumivu tumboni upande wa kulia

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa mpaka raha
 
inamaana ni hiyo haiwez kuwa tatizo jingne labda kulala vibaya na mengne maana anadai akirelax ndo panauma ila akihem kimbia pabonyeza papo sawa
Unachanganya wewe!! Kichwa cha habari kinasema kulia maelezo yanasema kushoto. Kama ni kulia itakuwa yenyewe. Kulala hakuwezi kusababisha maumivu ya tumbo.
 
Kuna dalili ipi nyingine inayoambatana na hayo maumiv una feel kwa nje au kwa ndani ni maumiv ya mda wote au wakati fulan yanakuwa makal san baada ya kufanya nn? Nn ukupa unafuu? una constipation? Yaan hap hapo au u radiate upand fulan
 
ni hiyo tu maumivu yanakuwa akiwa amerelax ama amelala lakini tofaut na hapo kawaida
 
Back
Top Bottom