Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,977
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26. Kwa siku ya pili sasa nimekuwa niki experience kitu ambacho sijawahi kupata. Moyo umekuwa ukidunda mara moja kwa nguvu hadi kifua kucheza. Sipati maumivu yoyote, lakini natishika na hali hii.
Nini maana ya hii wakuu?
Ahsanteni sana.