ujauzito huu unatatizo gani

Suns

Member
Feb 21, 2014
69
14
Jamani huu ujauzito kila nikienda clinik unaonyesha kimo cha mimba na umri wa mimba haviendani. Yani kimo cha mimba ni kidogo mno.je nini vinaweza kuwa vyanzo vya tatizo na nini tiba ya ujauzito usio kuwa vizuri
 
mmmh umefanya utrasound? Heartbeat ya mtoto ipo?
siku ulihesabu vyema?

dr kakupa solution gani? maana ujauzito kuwa mdogo kuliko umri halisi wa mimba sio vizuri ingawa kuna kesi nyingine hujirekebisha. hebu ongea vizuri na dr wako kwa kituo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom