Nasumbuliwa na mauumivu ya korodani wakati wa kukojoa

Jan 17, 2015
8
0
Wakuu,

Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya korodani (pumbu) hasa nyakati za kukojoa na maumivu haya hutokea tu endapo nimekunywa maji mengi sana..
May be lita 2 au lita 2 na nusu mida ya asubuhi baada ya kuamka..

Naombeni kufahamishwa hii ni kwa sababu ya nini? Na suluhusho lake je?
 
Back
Top Bottom