Maumivu upande wa kushoto tumboni

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa mpaka raha
 
Back
Top Bottom