Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kwa wanawake/wadada mliowahi kufanya hiki kipimo cha HSG je mlifanikiwa kupata ujauzito, je kuna njia ya kupima tofauti na kipimo hiki maana kinauma sana usiku siku hiyo sikulala mpaka niliumwa...
4 Reactions
16 Replies
31K Views
WAKATI katika jamii nyingi ikiwa ni fahari kuzaa watoto mapacha, kitu ambacho wengi hawana habari nacho ni kwamba uzao wa aina hiyo ni ‘hatarishi’ iwapo hautabainika mapema hasa katika mataifa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari waungwana, Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia vijana wengi wakizungumzia kuhusu vumbi la Kongo kwamba inaongeza pulinge pindi unapokutana na mpenzi wako kwenye kupeana raha za...
2 Reactions
118 Replies
19K Views
Wanajamvi: Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Naomba kujuzwa zaid kuliko nijuavyo kuhusu hicho kipindi katika mambo ya uzazi hyo OVULATION (sjui nimepatia kwenye kuandika)na hyo Fertility window ni kipindi gani na kipi kinaanza na huwa...
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Mmesemwa sana ila hamsikii na leo ‘ nawachana ‘ live / mubashara humu JF kuwa tafadhalini hebu tofautisheni basi kati ya Kung’oa misumari katika Mabati na Kung’oa Meno yetu haya yaliyo katika...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu salam, Naomba kufahamishwa kama Panadol inafaa kwa mtoto,ana miaka mitatu na miezi Kitano. Nimemgundua amevimba shingonj kama jipu au tezi upande wa kushoto,sasa nilipo SAA hizi maduka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitambo kidogo kiasi cha wiki mbili sasa nimekuwa nikitumiwa picture hizi za mdudu huyu na hata nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana nazo sana zikiwa na tahadhari kwamba...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndugu zangu, mke wangu anasumbuliwa na maradhi ya diabetes (kisukari). Anatumia dawa za Gema II. Zimemsaidia kiasi kwamba, pamoja na masharti ya vyakula, kiwango cha sukari sasa ni 5 hadi 7. Hiki...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Jmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf,napenda kujua hospitali ama zahanati ambayo ni nzuri kwa ajili ya kutahiri watoto kwa hapa dar,na pia ningependa kujua na gharama zao za kutahiri,natumahi mtanisaidia kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Habari ndugu zanguni, Kwa mlio wazoefu wa kukaa sehemu zenye baridi Naomb nifahamishe, njia mlizo au mnazotumia ili kuzoea na kukabiliana na hali ya hewa ya baridi katika mwili.. Maana kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu. Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Angalia kitakachokufaa chukua kisichokufaa kiache.
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Ndg madaktari, mke wangu anapata hedhi isiyoeleweka. Mathalani aliingia mp tar 1 may na akaja kuingia tena tar 11 june takriban siku 40 hizo, au wakati mwingine siku 30, 35 zaid au chini ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar jf Naitaji kujua tofauti ya mwanamke mrefu na mwanamke mfupi kwenye kushika mimba... Kumekua na tetesi eti mwanamke mfupi hushika mimba kwa haraka zaidi coz kizazi chake kipo karibu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello everybody! My friend is known HIV positive and was recently diagnosed during insurance check up. He (my friend) got pricked from a rose thorn and bled. Now I also got pricked from the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…