Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu. Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa kile kipandikizi pale kwenye mkono.
Sasa tumbo linamsumbua sana na ugonjwa hauonekani. Pia kichwa ndo usiseme.
Ajabu huu ni mwezi wa 10 hajaona siku zake.
Akina dada nishaurini nini nifanye haraka. Maana alivyo mpaka ninaogopa.
Upande wenu nyie huwa inakuwaje?