BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
japo ni vizuri kuwa wakwel bt umeongea kauli kali kidogo mkuu, assume wewe unaumwa then mtu anakwambia unakaribia kufa kama hutakunywa dawa, hata kama itakua ni ukweli utajisikia vibaya mno na pengine ukaingia uoga mkubwa au kukata tama kabisa, tutafute busara ya kuwakilisha jumbe zetu.Hana kisukari? Anaelekea kukatwa miguu kama hafanyi management kwa usahihi.
Dah poleni sana, yaani hapo ndo nimesema kwa upole kwa makusudi!japo ni vizuri kuwa wakwel bt umeongea kauli kali kidogo mkuu, assume wewe unaumwa then mtu anakwambia unakaribia kufa kama hutakunywa dawa, hata kama itakua ni ukweli utajisikia vibaya mno na pengine ukaingia uoga mkubwa au kukata tama kabisa, tutafute busara ya kuwakilisha jumbe zetu.
Tumia travo mimi pia nilikua nikisumbuliwa na miguu imepata nafuu sana ila ni ghali sana nitafte nikuunganishe na mhusika 0756805540Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
Cyo kweli....kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha hiyo hali....kikubwa nenda hospitalHicho ni kisukari... aende hospitali...
Ukiwa na Shida yoyote ileNdugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
Uko sahihi sana lakini pia anaweza jaribu kutumia Blsckseeds oil. Huenda ikawa msaada.Poleh sana mkuu...mama ana umri gani? Ungejaribu kumfanyia check up ila mara nyingi iyo ni dalili ya neuropathy na dawa yake mara nyingi inakuwa ni supplements
Nenda hospital... Kuna mtu humu alikuuliza maswali ya msingi na hukumjibu.Site of pain,ingawa kwa maelezo yako nahisi itakuwa ni kwenye unyayo,vile vile yamekuwa ya muda gani? OK mara nyingi maumivu kama hayo yanaweza kuhusiana na ugonjwa wa Gout ambao husababisha na kiwango kikubwa cha uric acid mwilini.Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
Hahahaha fursa eeeTumia travo mimi pia nilikua nikisumbuliwa na miguu imepata nafuu sana ila ni ghali sana nitafte nikuunganishe na mhusika 0756805540
MPELEKE HOSPITALI ACHA KUNUNUA HAYO MAJUIS USIYO NA UHAKIKA NAYO!YATAMPA NAFUU YA MUDA TU HADI UTAAMINI KAPONA! TATIZO LIKIRUDI HATA UENDE HOSPITALI UTAKUWA UMECHELEWA!OK ntajitahid baadae nikutafute,na gharama huwa bei gani
Uko Sawa kabisa.MPELEKE HOSPITALI ACHA KUNUNUA HAYO MAJUIS USIYO NA UHAKIKA NAYO!YATAMPA NAFUU YA MUDA TU HADI UTAAMINI KAPONA! TATIZO LIKIRUDI HATA UENDE HOSPITALI UTAKUWA UMECHELEWA!
Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.