Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Sina shaka mungu ametujalia kuiona ck nyingine tena ambao hamkufanikiwa kusimama na kutembea mola awape wepesi tena naomba kujua kupitia jukwaa hili kwani kuna wataalam na wabobezi wa mambo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana jamii forum naombeni msaada mi nikilala na mwanamke nikitumia mpira/kondom nakuwa napata shida sana wakati kitendo kinaendelea Huwa najisikia mwili/uboo una banwa sana na ninashindwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaaam wanabodi. Poleni na kukura kakara za hapa na pale. Mada: Nipo na mdogi wangu amepata tatizo la uvimbe kwenye ini. Alianza kujisikia kama uzito flani kwenye tumbo na baada ya kuona tatizo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
  • Closed
Samahani wamama na madokta malipo huku Naomba kufahamu mwanamke asiekua na kizazi hua anableed maana rafiki angu alitolewakizazi na hua anapata tone la uchafu kwenye Siku zake anapenda Kujua ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Massage ni muhimu katika mwili wa mwanadamu hasa pale unapochukulia kama ni sehemu ya ratiba katika maisha yako yote. Hii inatokana na kuwepo kwa faida mbalimbali baada ya kufanyiwa massage...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. naomba msaada kwa anayefahamu huu mti tajwa utaitwaje kwa kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nilikuwa addicted kwenye punyeto baada ya kuacha kuna vitu vinanijia kwenye mawazo na vinaninyima raha.Wakati mwingine nasikia hofu,yananijia mawazo mabaya niki waangalia watu nahisi kama...
0 Reactions
6 Replies
831 Views
1 kumvarisha pete 2 kumkata kabisa govi?? Nahitaji kumtahiri mwanangu ila sijui ni njia gani hasa nzuri na safe Pia ni umri gani mzuri haswa wa kutahiri???
0 Reactions
27 Replies
6K Views
MP& OV
0 Reactions
8 Replies
940 Views
Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wasalaam bandungu Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania) kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Hana Homa Anaharisha Kiasi Kila Mtu Anakuja Na Maneno Yake Wengine Wanasema Nimpeleke Kienyeji Akapasuliwe Hayo Mau Vimbe Nipo Dilema
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Maelezo: Wakati mtu akitumia dozi ya malaria Kwinini
2 Reactions
65 Replies
13K Views
Mafua Kila Siku Haya Ishi.Nyumba Ina Mavumbi Mibox Ya Nguo Ya Tangu Mwaka 1990 Imo Ndani Viatu Vya Tangu Utoto Vimo Ndani Kwanini Usiugue Mafua?
4 Reactions
18 Replies
3K Views
pole sana wa jamii forum na hongera sana kwa mheshimiwa lema kupita rufaa yake. Kwa kifupi ni mdogo wangu yapata sasa wiki 3 alikuwa amelazwa hospital moja ya wilaya lakini kama wiki 1 iliyopita...
0 Reactions
20 Replies
25K Views
Wadau, nataka dogo aache kunyonya mara moja, mbinu gani itumike?
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habarini waungwana Hivi ni kweli kuwa watoto wa kiume huwa wananyonya sana kuliko watoto wa kike?kama ni kweli naombeni sababu inayofanya iwe hivo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waslaamu wadau wa afya, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa beers kwa muda sasa, lakini siku za karibuni nikinywa beers nyingi jioni ya leo basi kesho yake ahsubuhi huamka na hangover na wakati mwingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
COPIED AND PASTED [emoji116] DAWA KUMI AMBAZO MAMA MJAMZITO HATAKIWI KUZITUMIA KABISA: Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom