Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Habari waungwana,
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia vijana wengi wakizungumzia kuhusu vumbi la Kongo kwamba inaongeza pulinge pindi unapokutana na mpenzi wako kwenye kupeana raha za dunia.
Je, ni kweli Vumbi ya Kongo ni kiboko ya kuongeza pulinge au ni maneno tu ya watu, na kama kweli je inapatikana maeneo gani kwa hapa Dar es Salaam?
Wazoefu naomba mnijuze.