Msaada kuhusu Panadol

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,080
8,822
Wakuu salam,

Naomba kufahamishwa kama Panadol inafaa kwa mtoto,ana miaka mitatu na miezi Kitano. Nimemgundua amevimba shingonj kama jipu au tezi upande wa kushoto,sasa nilipo SAA hizi maduka siwez pata dawa,ila nina panadol za kama mwezi hivi nilinunua kwa ajili yangu,he zitamfaa mtoto na he kama zinafaa nimpe nusu ama nzima?!

Naambatanisha picha.

Ahsante ni.
 

Attachments

  • IMG_20170621_213722.jpg
    IMG_20170621_213722.jpg
    172.4 KB · Views: 45

Similar Discussions

Back
Top Bottom