Je huu ni ugonjwa gani na naombeni ushauri wa dawa zake

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
df111c141ca05a59c562ea95f17c5662.jpg
1bc8f946a2aca13f143fa19b85fc3e7e.jpg
aa41b0dd91c71c436ccaa176f7cc1c7a.jpg

Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani
 
Mkuu mrudishe bibi hospitalin kwa uchunguzi zaid kama kweli unahitaji ushaur wa kitabibu.. Kama upo Dar nenda pale regency hospital kuna mtaalam wa ngozi pia muhimbil wana clinic ya ngozi
Unaeza ukapata ushaur wa dawa lakini isiwe ya ugonjwa huo
 
wewe ndio umekurupuka,, nimetaka kujua majina hasa ya dawa alizotumia najua arthritis ina dawa nyingi pengine alizotumia mwanzo hazikumfa abadili dawa au aongeze dose ya dawa, dr kawaida huanza na dawa za low price and low dose km zipo
 
kwa muonekano wa picha zake inaonesha ni dhahir ana Arthtitis au Rheumatic au pengine Gout pia!! mpeleke hospitali akafnyiwe diagnosis kwa kina... pia ni vizur ungesema ni dawa gani alizopewa mara ya kwanza maana kwa tiba ya magonjwa uliyotaja apo juu kuna aina mabli mbali za ku- approach kutibu huo ugonjwa kwa kutumia dawa tofauti tofauti!!!
 
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
df111c141ca05a59c562ea95f17c5662.jpg
1bc8f946a2aca13f143fa19b85fc3e7e.jpg
aa41b0dd91c71c436ccaa176f7cc1c7a.jpg

Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani

Mzizi mnkavu, please Njoo utoe msaada kwa ndugu yetu huyu....
 
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio .
df111c141ca05a59c562ea95f17c5662.jpg
1bc8f946a2aca13f143fa19b85fc3e7e.jpg
aa41b0dd91c71c436ccaa176f7cc1c7a.jpg

Je wakuu naombeni nnishauri ni dawa gani anaweza tumia zikamsaidia.
Natanguliza shukrani
Ninakushauri Aende hospitali kupima Mafigo yake je yanafanya kazi vizuri? Kuvimba kwa mikono au miguu pia kunachangia mafigo yakiwa hayafanyi kazi vizuri basi itakuwa ndio sababu ya maradhi ya kuvimba. Dawa ya kuweza kumtibu bibi yako ninazo ukiweza kunitafuta mimi nitafute kwa njia mbili njia ya kwanza ni baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com What's App+905344508169 Ushauri wangu awe anakunywa maji mengi ya Uvugvugu.
 
Rheumatoid arthritis. Inawezekana huu ndio ugonjwa unaomsumbua. Aende akapate ushauri wa daktari mwengine. Dawa za hospitali zinaweza kumsaidia kwa muda mfupi tu inategemea ni kiasi gani ulivyomuathiri. Diet nzuri inahitajika, kama kuacha kula baadhi ya vyakula anavyohisi vinamzidishia matatizo. Ajaribu kunywa juice ya tangawizi maranyingi kila siku. Uwatu ( fenugreek seeds) Kijiko cha chai kimoja kila siku asubuhi kabla ya kula kitu, anaweza kuchemsha na maji au kuroweka usiku ili anywe asubuhi na mbegu zake. Atumie Manjano safi (Turmeric). Mdalasini, Aloe Vera, Ufuta, Carrots, Vitungu maji. Matunda kama Maembe, Papai, Zabibu, Apples. Ale Samaki, Dagaa, Vitunguu thom. Nyama nyekundu na maziwa asitumie. Anywe maji sana. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanasaidia.
 
Akitumia vyote hivyo je ataweza kupona au ndio unataka kummaliza kabisa?
 
Akitumia vyote hivyo je ataweza kupona au ndio unataka kummaliza kabisa?
Hapana, sina maana hiyo. Hizi ni baadhi ya options tu ambazo nimejaribu kumshauri kutumia kwa atakavyoweza, haina maana kua anatakiwa kutumia vyote kwa wakati mmoja, anaweza kuchagua baadhi atakavyoweza kuvipata kirahisi hapo alipo. Ni vitu ambavyo anaweza kuingiza kwenye diet yake ya kila siku. Ni vyakula vya kawaida ambavyo anaweza kutumia mtu yoyote kuboresha afya yake sio lazima uwe mgonjwa. Mimi pia natumia baadhi ya hivi kwenye maisha yangu ya kawaida.
 
mkuu nashauri aende hospitali apate tiba sahihi na uchunguzi wa kina. Hii kwa asilimia kubwa ni Rheumatoid Arthritis. Kama yuko Dsm nashauri aende MOI amuone Dr.Shareef, au Dr.Mboya. Pia anaweza kwenda Hindumandal hospt. na amuone Dr.Kaushik ni imani yangu kwa uwezo wa MUNGU atapata tiba sahihi kutoka kwa wataalamu hao.
Dawa ambazo zinaweza kumpa nafuu ni pamoja na Diprofos injection. Pia kuna dawa za vidonge nimezisahau nikikumbuka ntakujulisha
 
Kwa haraka haraka ukitizama hizo picha moja kwa moja ni bones na joints ndizo zenye inflammation ambayo aina inayosumbua sana inaitwa Rheumatoid arthritis ambayo unakuta joints pekee ndizo zinapata inflammation au bones pekee au vyote Bones na joints kwa pamoja..... Dawa waweza tumia anti inflammatory iitwayo IBUPROFEN hukichanganya na pain killer's kama ASPRIN & PARACETAMOL...... Kama hali itaendelea kuwa mbaya aya tunakushauri hutumie DMARDS(Disease Modifying Anti-Rheumatic Drug) #akhsante
 
Back
Top Bottom