Habari great minds,
Nina tatizo la fangasi sugu sehemu za siri kwa miaka zaidi ya 4, huwa linanisumbua miwasho japo kuna muda linapungua na kupotea.
Nimeshatumia kila aina ya dawa zikiwemo za...
"Habari viongozi, polen na majukumu, samahani naomba msaadq wadau mwenye kujua dawa......nasumbuliwa sana na tatizo la tumbo kujaa gas kwa muda sasa, dawa za hospitali zimeshindikana na nimepima...
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.
Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya...
Poleni kwa majukumu ya kila siku wadau wote wa jamiiforums hasa ukumbi huu wa JF Doctor.
Naamini JF doctor kuna watalaamu wengi na watu wenye uzoefu katika masuala ya afya na shughuli...
Ndugu zangu musinicheke ila nina hali ya kupata kichefuchefu na kujiskia kutapika muda mwingi sana ila sitapiki mda wote natema tu mate naomba msaada hii hali inasababishwa na nini nitumie nini...
Naombeni nisaidieni, mtoto wangu alivimba shavu la kushoto last week, uvimbe huo huanzia kwenye sikikio kushuka chini. nikampeleka hospital na akapewa ampiclox akapona, leo asubuhi kaamka kavimba...
Habari za muda huu wakuu!
Nimekuja hapa jukwaani kuna changamoto moja nahitaji msaada kutoka kwenu
Ipo hivi nina mke wangu ana mtoto wa miezi tisa, anayenyonya sasa leo kuanzia asubuhi maziwa...
Nawasalimu ndugu zangu.
Miezi kadhaa nilileta mada hapa nikashauriwa na kufarijiwa nanyi, ushauri wenu kwa 75% niliufanyia kazi na wengi walishauri kurudia vipimo hospital nyingine hasa Kamanga...
Habari za mida Wana jamii, Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 29 miezi mitatu iliopita nilijigundua kua Nina uvimbe kwenye korodani kutokana na maumivu ya hapa na pale ndo kujichunguza nikagundua...
Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana...
Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection
The Alarming Reality of Cervical Cancer in Africa
Cervical cancer stands as the most common cancer...
Habari wanawake wenzangu,
Poleni na majukumu, leo nimependa niwaletee huu ujuzi kidogo ambao nina ushuhuda nao, niliona post sehemu nikajaribu na ikanipa majibu ndani ya siku 3.
Kuna wanawake...
Naomba anayefahamu ninapoweza kuusaidiwa matatizo ya ngozi, miaka mingi sasa vikiota usoni kama chunusi basi ni vijipu, kwapa huota kama vijipu vidogo vdogo, sehemu za masikio vile vile, na sehem...
Habar wakuu nauliza mtoto wangu Umri maiak9,tumeingia kwenye kipimo Cha MRI kwa ajili ya tatizo lake la mgongo Sasa mtoto anasumbua kweli hatulii kwenye mashine nikulia tu mwanzo mwisho,
Je kuna...
Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu.
Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya...
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki...