Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Dawa ya miguu kuwaka moto🤔 🗣️leo nitapenda kuelekeza Dawa ya miguu kuwaka moto au kufa ganzi au kupoza au kuuma. chukuwa shabu vijiko 4 vikubwa chemsha kwenye maji ya ya Lita mbili kisha...
2 Reactions
2 Replies
810 Views
Dear Doctors, Kila nikiamka asubuhi nina mafua na chafya nyingi sana. Yani hii inaniumiza na situmii dawa yoyote kwa mazoea tu. Pia muda mwingine kama mchana/ jioni nayapata kutokana na...
2 Reactions
443 Replies
276K Views
Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
0 Reactions
149 Replies
143K Views
Habarini wanajukwaa la JF Doctor. Nisiwachoshe na niende moja kwa moja kwenye mada, kutokana na matumizi ya vifaa vya kiumeme hasa runinga, kompyuta na smartphone kwa muda mrefu nimejikuta...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Naombeni ushauri nn nifanye Mke wangu ana mimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake ya mwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua. Tumbo halimuumi wala hakuna hali yoyote ya hatari inayomsumbua...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Kama kicha cha habar hapo juu mke wangu amekuwa na hili tatizo miez sita sasa amekuwa akitokwa na uchafu ukeni Kama maziwa mgando iv,hii shida ilianza alipopata uja uzito...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu WanaJF, Nnateseka sana na hii kitu (KIFAFA) Juzi Nimeanguka hadi nmevunja jino na kutoka Jino kabisa, Nshazunguka Sana Bila Suluhisho kama kuna mwenye kufahamu tiba anijuze Tafadhali...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari. Kwa anaejua. Je shahawa zinakaa muda gani ukeni ndo zina expire?
0 Reactions
32 Replies
80K Views
Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia...
2 Reactions
10 Replies
868 Views
Shalom wapendwa Ma dk wenzangu Matibabu wote Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa...
1 Reactions
13 Replies
697 Views
Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢...
16 Reactions
86 Replies
3K Views
Habari zenu, Kuna siku nilipost humu natoka harufu mbaya hadi mke wangu anasema ya kizee. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua ni sehemu za siri yaani kuanzia kwenye korodani na pembeni yake...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu? Toka juzi macho yangu yote mawili yananicheza. Yani likitulia la kushoto linaanza la kulia, kwa kifupi yanacheza kwa kupokezana. hayaumi wala hayatoi machozi. Je hii ni ishara ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada...
2 Reactions
14 Replies
725 Views
Habari zenu wakuu, Nina imani kila moja anaendelea na maisha yake vizuri. Nina tatizo la kutosikia hamu ya kula na kukinai vyakula mapema. Sometimes naweza hata kuvukisha siku bila kula na njaa...
1 Reactions
97 Replies
41K Views
Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
2 Reactions
22 Replies
866 Views
Back
Top Bottom