Wakuu habari zenu.
Samahani, ningependa kujua gharama ya kufanya plastic surgery ya bega na mkono kwa ujumla inaweza ku range kiasi gani approxmatry? na ni hospital gani wako vizuri kwenye hii...
Wakuu habari .
Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu.
Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi...
Viongozi napenda nijue Tiba ya kwikwi maana siku ya tisa sasa baba yangu inamtesa sanaaa inafika muda kwikwi inambana Hadi anashindwa kupumua na muda mwingine anatapika...
Yeye kama yeye kajaribu...
Habari za Leo wakuu.
Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa...
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana...
Habari zenu wanajukwaa wenzangu,
Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious...
Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara...
Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya...
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa)
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza...
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.
Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda...
Heshima kwenu Wana jamvi.
Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni)
Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni...
Mwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
Ni mtoto wangu wa kwanza tulimpeleka kituo cha afya akapatiwa dawa ila hali bado. Kwa anaejua zaid kwa mliotangulia kupata watoto kabla naomba msaada wa mawazo
Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya...
Habari,
Msaada wenu wanajukwaa
Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba.
Hii mimba ni yangu?
Jee kipimo kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.