Dawa ya kupanga mzunguko wa hedhi baada ya kuzaa

Miss_deejjah

Senior Member
Joined
Jul 17, 2026
Posts
124
Reaction score
264
Nina mwaka mmoja Toka nijifungue, ila baada ya kuanza kupata hedhi imekua isiyoeleweka, mara itoke mara mbili kwa mwezi mara itoke siku nyingi Zaid ya Saba, hospital nilienda nikapewa dawa ya duphaston kwa muda wa siku Saba baada ya hapo ikakaa sawa kwa muda wa miezi miwili nashangaa tatizo limerudi tena msaada tafadhal 🙏
 
Nina mwaka mmoja Toka nijifungue, ila baada ya kuanza kupata hedhi imekua isiyoeleweka, mara itoke mara mbili kwa mwezi mara itoke siku nyingi Zaid ya Saba, hospital nilienda nikapewa dawa ya duphaston kwa muda wa siku Saba baada ya hapo ikakaa sawa kwa muda wa miezi miwili nashangaa tatizo limerudi tena msaada tafadhal
 
Hormonal imbalance/ changamoto ya hormones kutokuwa sawa wakati mwingine huleta maumivu ya tumbo, chuchu, kichwa, au stress wakati wa hedhi (PMS). Tiba asili ndio chaguo sahihi either mtabibu aliye karibu nawe au ni PM
Ulaji wetu siozuri sana hivyo hupelekea kuzalishwa kwa uteute/ mucus nakupelekea kuziba mirija ya tezi ambayo ndio hutoa taarifa kwenye mji wa uzazi ni kifanyike kikemikali na kuwa na shinikizo fulani chini ya mji wa uzazi nakupekea tatizo hili. Hivyo kwa tiba ya mimea dawa asili huweza kurejesha kwa kuondoa utehuo kwakulisha madini (m.f zink) husika kwenye seli hizo nakuondosha hiyo mucus kwenye eneo hilo ni tiba ya uhakika. Mara nyingi wenye tatizo hili pia huwa wanatatizo la tumbo au digestive tract kwakuwa hapa ndipo center ya mwili tumbo likishindwankupokea virutubisho vyakutosha basi maeneo mengi huadhirika, pia dalili nyingine sometimes ni usingizi unaweza kua ni wa shida
 
My dear,kama umejifungua,hedhi hairudi kawaida kama mwanzo ghafla tu, huwa inakuja kwa namna isiyoeleweka then baadae itarudi sawa. Hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya mwili baada ya kujifungua na hasa kama unanyonyesha. Hii ni kawaida na sio jambo la kukutia hofu kwa uzoefu wangu.
Pia kama unatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango hedhi inaweza kuvurugika kwahiyo na hilo ulitazame.
 
Asante kpenz nanyonyesha ndio ila njia za uzazi wa mpango sjawah kutumia
 
Shukran
 
Kama unanyonyesha mwili huwa unajizuia kuzalisha mayai na hatutegemei upate hedhi. Kama umeanza kupata hedhi hata kidogo maana yake mwili wako unaweza kuzalisha mayai na unaweza kushika mimba maana kupata hedhi ni kwa sababu yai lilitolewa halijarutubishwa. Kwahiyo kaa rada usije kupata mimba ya surprise.
 
😂😂 Sawa
 
Back
Top Bottom