Tonsils dawa yake ni nini?

Mumlii

Senior Member
Mar 14, 2021
169
230
Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
 
Kuna mdau alieleza humu tiba yake kuwa...

Weka maji kwenye kikombe yasijae.. kisha chukua kaa la moto utumbukize kwenye maji hayo na kunywa maji huku kaa likichemka

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama uko na mtu hapo nyumbani muombe akusaidie jambo moja..

Achukue asali apake kwenye vidole vyake viwili hivi vya mikono virefu alafu aingize kooni mwako afanye kama anakusugua hivi pande zote mbili utajisikia kutapika sana au kutema mate kwa wingi kesho asubuhi ukiamka hakuna tena viuvimbe hivyo..

Usijionee huruma au kama unaweza kujifanyia mwenyewe fanya..

Kesho ulete mrejesho..
 
Mmh ,asante m n muoga mno
 
Zikiwa zimechacha Sana benzylpenicillin 24 hrs with analgesic then phenoxymethylpenicillin 6 hrly to 5 days

Utakuwa. Umepona kabisa
 
Dawa zozote kwa issue ya Tonsils inaweza saidia tu kama hazijafikia kiasi/kiwango kikubwa zaidi kuhitaji kuondolewa kutumia upasuaji.
Nenda hospitali uonane na madaktari bingwa wa Masikio,Pua na Koo(ENT SURGEON) kwa ushauri wa kitaalamu zaidi ili uweze patiwa tiba sahihi/stahiki.
NB
1.Kutumia dawa utapata nafuu ila haizuii kujirudia,sabu ni maambukizi.
2.Tiba ni kuziondoa kwa upasuaji kama hautaki hilo suala kujirudia.
 
Tonsillectomy at 20 to 25yrs and abave huwa chronic maana yake hazivimbi kabisa Kwa sababu ya retaining ya microorganisms reactions ambayo hujengwa na kuwa hypersensitive reactions most of this time kuziondoa haisaidii at earliest time ni nzr Kwa kuwa mwili hujitune Kwa staili nyingine kufait na microorganisms

Hence kufuatilia ushauri ni vzr

Ila amputation ya tonsils above 20 yrs siyo nzr
 
Tonsillectomy at 20 to 25yrs and abave huwa chronic maana yake hazivimbi kabisa Kwa sababu ya retaining ya microorganisms reactions ambayo hujengwa na kuwa hypersensitive reactions most of this time kuziondoa haisaidii at earliest time ni nzr Kwa kuwa mwili hujitune Kwa staili nyingine kufait na microorganisms

Hence kufuatilia ushauri ni vzr

Ila amputation ya tonsils above 20 yrs siyo nz
Hii lugha ya kidaktari sjaielewa, m tokea nakua ninazo ,so nikaa sehemu yenye hali ya baridi znavimba ama nkinywa kitu cha baridi . na umri wangu n above 25yrs. So nieleze vizuri nielewe
 
Back
Top Bottom